Polisi wasaka simu ya Lema

Polisi wasaka simu ya Lema

Hawa yawezekana hawajui ama wamesahau kilichomkuta Dr. Kleruu kule Iringa...:coffee:
 
ccm time yao imekwisha, wakakojoe wakalale watuachie marijali tuongoze nchi
 
Hiyo itakuwa spoofing bana yaani Lema alitumia ujanja kujitumia huo ujumbe kama Mwigulu Nchemba aliposema ametumiwa ujumbe wa vitisho na wabunge/viongozi wa CHADEMA. Mwnasheria Mkuu, DPP wakadandia na sipata kusikia kesi hiyo tena. CHADEMA kupitia Lema hawawezi na wao kufanya hayo? Kama jibu ni ndio basi wanastahili kuongoza nchi. Kama jibu ni hapana bado njia yao ni ndefu. Uongozi ni zaidi ya kuzungumza mambo mepesi. Sio mnaona yule jamaa anaongea kwenye TV na sura yake kama malaika. Wanasema ni muungwana sana,lakini ukifunua kapeti na kuona yanayofanyika unaweza ukastaajabu ya Musa
 
TCRA hawana uwezo wa kitaalamu kuifanya unavyotaka iwe.
Kama ni kweli sasa wanakuwaje regulatory authority ambao ata ku erase msg issue.Basi wawacheki VODA ili kumlinda RC ingawa haitasaidia maana jamaa alishausambaza huo ujumbe
 
T C R A wamekuwa wakitoa onyo watu kuacha kutumia simu zao kuwatishia wengine na wamekuwa wakiahidi kuwa atakaye kamatwa atachukuliwa hatua za kisheria, sasa tusubiri ya Magessa Mulongo, Dictator wa Mkoa wa Arusha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom