Makamee
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 2,029
- 1,201
Askari wawili wa jeshi la polisi jana usiku walipigana ngumi hadharani wakiwa eneo la kazi ktk eneo la mzani Kibaha.
Chanzo cha ugomvi inasemekana ni askari Trafic mwenye cheo cha Coplo kudai ameingiliwa majukumu yake na askari wa kawaida aliekuepo eneo hilo kwa kulikomalia gari lililozidisha mzigo lazima lipitie ktk mizani kitendo ambacho kilimkera coplo huyo na kuanza kumpiga askari mwenzie.