Polisi wapigana kibaha mzani

Polisi wapigana kibaha mzani

nani alipingwa mkuu?traffic au askari wa kawaida?
 
yaani wewe hata dar es salaam ilipoishia ujui kazi kuropoka tu kama tobo lissu

Acha ungese wewe,samaki mmoja akioza wote wamechina kama gesi ra polisi la kova na masisiem yenu na miwaziri mizigo....
 
tuwarudishe mwonduli, ama ccp kwa mafunzo ya ziada
 
nani alipingwa mkuu?traffic au askari wa kawaida?

Mwanangu askari wa kawaida alidundwa si unajua wana lishe duni. na ndie alienda kushtaki mpaka habari zinakufikia wewe. sopitali walitaka alazwe lkn makamanda wakatumia busara akaugulie kwa mkewe
 
Kabisa yena anatumika sana na kina azania na hawa bin kleb wote kila wiki anaenda kubeba bahasha.
 
uchochezi kama wa dokta slaa

...kunatofauti kubwa sana kati ya ukweli mchungu na uchochezi. Tofauti ya cdm na ccm ni ktk kusema na kuuishi ukweli. Ccm ukisema ukweli lazima ung'olewe kucha ndo maana wengi ni ndio mzee na kulamba viatu wapate kula...
 
...afterall pinda aliruhusu kupigana so ntashangaa sana kama watafanywa lolote...
 
Acha ungese wewe,samaki mmoja akioza wote wamechina kama gesi ra polisi la kova na masisiem yenu na miwaziri mizigo....

nyie mliokuja mjini kwa ajili ya kusoma kila kitu mnabisha...we kubali kuwa ulienda chaka kusema kuwa kibaha ni eneo la kova bila kujua kova mwisho wake ni wapi..sio unakurupuka tu kama matendo yasiyo ya hiyari
 
Ma constable wa polisi wanajenga majumba na kununua magari kwa sababu ya hiyo check point ya mizani ya Kibaha. Na kwa jinsi rushwa inavyotembea hapo ndio maana unaona askari wa kawaida anaamua kwenda kutega hapo ili angalau ajipatie chochote na huyu wa traffic akaona kuwa mapato yake yatapungua.

Pale ni kitega uchumi buku buku toka asbh mpaka jioni anatoka na mzigo wa chenji.
 
yaani wewe hata dar es salaam ilipoishia ujui kazi kuropoka tu kama tobo lissu
unapojitahidi kulinda uovu na dhambi kwa kirungu ujiangalie kwenye kioo maadili ya kazi kitengo cha trafiki ni sifuri wananuka rushwa sio kibaha tu ni tanzania nzima zinahitajika juhudi za ziada na uthubutu kurejesha nidhamu iliyoppotea
 
Askari wawili wa jeshi la polisi jana usiku walipigana ngumi hadharani wakiwa eneo la kazi ktk eneo la mzani Kibaha.
Chanzo cha ugomvi inasemekana ni askari Trafic mwenye cheo cha Coplo kudai ameingiliwa majukumu yake na Oaskari wa kawaida aliekuepo eneo hilo kwa kulikomalia gari lililozidisha mzigo lazima lipitie ktk mizani kitendo ambacho kilimkera coplo huyo na kuanza kumpiga askari mwenzie.

dhambi za Ruswa zimewatafuna wafukuzwe kazi iwe fundisho kwa wengine
 
me ata cwashangai ani hao kawaida apo pana ulaji sana ndo mana wanapigana kabisa
 
Back
Top Bottom