babykailama
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 251
- 243
Mtanzania yeyote anapo hatarishwa maisha yake kama hivi waziwazi, haijalishi ni wa chama, dini, jinsia, umri, au kabila gani.
Kiongozi wa jeshi la polisi anapaswa kutoka mara moja na kauli madhubuti kuonyesha mkakati uliopo wa kuwapata wahusika na kuwafikisha mbele ya sheria.
Katika tukio hili, kiongozi wa juu wa serikali na bunge ni kutoa faraja bila kuchelewa kwa wahanga,ambao ni viongozi na familia zao na si kusubiri pole ya mwakilishi wa chama tawala!
Mambo kama haya hayatetewi popote!