Polisi, wananchi wapambana kwa risasi, mabomu na mawe

fangfangjt

JF-Expert Member
Apr 25, 2008
571
139
MJI wa Maswa jana uligeuka uwanja wa mapambano baina ya wananchi na polisi, huku risasi, mabomu ya machozi na mawe vikitumika kama silaha baina ya pande hizo.

Polisi walitumia risasi na mabomu ya machozi kuwadhibiti wananchi waliokuwa wameamua kujichukulia sheria mkononi kumwadhibu mkazi mmoja wa mjini hapa Masanja Juma (28), aliyetuhumiwa kwa wizi wa kuvunja maduka

SOURCE : NIPASHE
 
polisi wanaokoa jambazi hawakumbuki yaliyowakuta polisi wenzao wiki iliyopita kahama!!mie sina huruma na jambazi ilimradi tu athibitishwe!!

Back
Top Bottom