Polisi wamiminia risasi daladala

Hivi hii dhana ya polisi jamii mnaionaje wana JF, inawezekana vipi wakati polisi na wananchi ni maadui? umefika wakati ni heri kukutana na mwizi kuliko kukutana na polisi. hii ndiyo miaka hamsini ya uhuru?
 
Bange hizo!
Au wanagombea dem
au kuna mfanyabiashara
mwenzie ameamua
kumlostisha
sina jibu kwa kweli
nji ya kikwe........

Mambo yamekuwa
vululuvululu
 
Back
Top Bottom