Polisi walima shamba la baba wa mfungwa

Polisi walima shamba la baba wa mfungwa

Tulimumu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
14,395
Reaction score
13,266
Kijana mmoja alifungwa jela miaka 7 Baada ya miaka 2 baba yake akamwandikia barua : "Mpendwa mwanangu, umeniacha katika maisha magumu ya maradhi na umasikini, bora ungekuwepo ungenisaidia kulima" Mtoto akajibu: "Tafadhali baba usithubutu kulima hilo shamba kwasababu pesa zote nilizoiba nimezificha humo" Kwakuwa barua zote husomwa na polisi, kesho yake baba kuamka akakuta polisi zaidi ya 100 wanalima shamba mpaka wakamaliza hawakupata hata senti tano. Mtoto akamwandikia baba yake "Andaa mbegu kaoteshe, huo ndio msaada wangu!"
 
Back
Top Bottom