Hapo wamepaki eneo linaloitwa Rev Square kuhakikisha usalama! Tanzania hatuna polisi wakulinda maandamano ya katiba
kutokana na vitisho vya Alshabab. Lakini kuzuia wanafunzi wasigome wapo wakutosha.
![]()
Usinikumbushe lol!dah pole yao ila ndo nilikotokea uko, sitasahau siku niliyomwagiwa maji washa nililia kama nimefiwa vile. enzi za kina DAVID SILINDE, sasa ni mbunge. duh UDSM tuliteseka kuanzia 1st year mpaka 3rd namaliza chuo tuligoma.