TAFRANI imetokea katika Benki ya CRDB, tawi la Azikiwe,baada ya kijana mmoja aliyehisiwa kuwa jambazi kurusha mawe kwenye vioo vya benki hiyo na kusababisha wateja kukimbia ovyo wakidhani wamevamiwa. Tukio hilo lilitokea jana mchana, ambapo kijana huyo anayedhaniwa kuwa akili yake imeathirika kwa kubuia dawa la kulevya 'Teja' kurusha mawe kuelekeza kwenye jengo hilo na kuvunja vioo.
Baadhi ya wateja walianza kutimua mbio kutoka nje huku wengine wakilala chini kuhofia maisha yao. Baada ya kuona hivyo, Polisi waliokuwa kwenye lindo la benki hiyo, walifyatua risasi juu wakidhani majambazi wamevamia benki hiyo. Lakini baada ya muda walimuona kijana huyo aliyekuwa katikati a Barabara ya Azikiwe karibu na kituo cha Daladala cha Posta Mpya, akiendelea kurusha mawe.
Polisi walimuendea na kufanikiwa kumdhibiti na kuanza kumpatia mkong'oto wa nguvu, huku wanachi wenye hasira wakitaka nao waruhusiwe kumwadhibu. Ndani ya benki hiyo hali ilikuwa shaghalabaghala, kwani mitungi ya maua na baadhi ya nyaraka zilitawanyika ovyo, huku wakioneakana baadhi ya wateja wakiwa wamezirai na wengine wakilia baada ya kupotelewa na nyaraka muhimu za benki vikiwemo kadi na fedha taslimu. Wakati tukio hilo ilitokea, pia hali haikuwa nzuri kwa wafanyakazi wa benki hiyo, kwani baadhi walisikika kuwa walipatwa na hofu kubwa kiasi cha baadhi yao kukimbilia kujificha vyooni na kuacha kaunta zao.
Shit.... Uonevu mtupu. Polisi elimu ndogo, ufundi sifuri, maadili ziro rushwa na ghadhabu kibao. Tumewazoea ndivyo walivyofundishwa na vilaza wao. Tena askari wa hivyo atapendwa sana na bosi wao. Huyu kijana amechoka na serikali mbovu maisha magumu na wawekezaji wabovu kama hao mara atm hazina mtandao.... Wakati imeandikwa 24hrs. Kaka watwange mawe tu wala sishangai.
Atm 24 hrs is it true???????, mara mtandao, mara haina hela, mara umeme sasa kwanini msipigwe mawe shit.....
Huyu polisi kwa nini anampiga teke wakati wamekwisha mdhibiti? Hii ni abuse. Vile vile inaonekana hawana hata bangili hawa warudi tena wakafanye mafunzo.

Huyu polisi kwa nini anampiga teke wakati wamekwisha mdhibiti? Hii ni abuse. Vile vile inaonekana hawana hata bangili hawa warudi tena wakafanye mafunzo.

Investigation inatakiwa ifanyike!! huenda kukawa na kundi ya watu nyuma yake waliokuwa wanahusika zaidi na wengine huenda walikuwa ndani ya bank, kijana aliporusha jiwe wateja wakatafaruki na wenye dili kumaliza mission kiulainiiiiiiiiiiiiiiii.
Matatizo kama haya yanatakiwa taasisi huru kama NCIS (National Criminal Invistigation System). Lakini kwa nchi yetu, itachukua miaka mingi kufikia hiyo hatua!
Nisoma mtuhumiwa ana matatizo ya akili pia.
Hilo ndio tatizo kuu la askari wetu.Nguvu nyingiii akili.....................Sasa kwanini polisi anampiga mtu ambaye teyari yupo chini ya ulinzi?
Aliyeisoma Majira ya 31 Julai atakubaliana na hoja yangu kuwa kuna mgawanyo mbaya wa keki ya Taifa kitu ambacho kinafanya vijana wetu wachanganyikiwe. Majira iliandika kuwa "Serikali kugawa ekari 800,000 kwa Mzungu". Bado ikadokeza kuwa PINDA atembelea wawekezaji hao, aunga mkono. Taarifa hii inatudhihirishia kabisa viongozi wetu hawana upendo na sisi ila kujali maslahi yao tu. Ni dhahiri kabisa miaka 30 ijayo tujiandae kwa Nyerere mwingine ili kuikomboa nchi yetu dhidi ya ukoloni ambao leo viongozi wetu wanatuingiza kama ilivyokuwa kwa machifu wetu. Ekari 800,000!!!!!!

Investigation inatakiwa ifanyike!! huenda kukawa na kundi ya watu nyuma yake waliokuwa wanahusika zaidi na wengine huenda walikuwa ndani ya bank, kijana aliporusha jiwe wateja wakatafaruki na wenye dili kumaliza mission kiulainiiiiiiiiiiiiiiii.

Matatizo kama haya yanatakiwa taasisi huru kama NCIS (National Criminal Invistigation System). Lakini kwa nchi yetu, itachukua miaka mingi kufikia hiyo hatua!

Polisi wa TZ wanaudhi sana tena sana - niseme ni KERO kwa kwenda mbele .....................hivi huyu kijana akifa - si inabidi wafunguliwe kesi ya mauaji????? Wameshamkamata bado wanampiga - wanamtolea kijana wa watu frustrations zao za maisha - si waipige serikali ya sisiemu kwa kutufikisha hapa tulipo???? Yaani kijana wa watu hadi damu inamwagika ..................hii ni sawa kweli???? suppose ni kaka yako, suppose ni mdogo wako, suppose ni shemeji yako........suppose ni mwanao......................ahhhhhhhhhh anauma HUYU KIJANA ATAKUWA MGONJWA TU - APATE WAPI UJASIRI WA KUPIGA MAWE MCHANA KWEUPEEEEEEE .... HALI KILA MTU ANAMWONA ........TENA ANAYARUSHA KWA MBALI ....MUNGU MHURUMIE - MPONYE NA MRUDISHIE AKILI ZAKE TENA ...........AMEN ..............OLE WAO WANAOINGIZA MADAWA YA KULEVYA NA KUFANYA BIASHARA HIYO HARAMU....NDIO MATOKEO HAYO .....VIJANA WA KITANZANIA WANAATHIRIKA