Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,098
- 631
Mmiliki wa Konyagi feki...
Bongo hii kila kitu feki! .
Hadi uprofeseri ....!
Huyu mjasilia Mali ni kiboko
Siku hizi Konyagi haina wateja tena......Mambo yote ni K-Vant!!!! Hamna za kuchakachua
![]()
![]()
![]()
Mmiliki wa Konyagi feki...
![]()
Kvant n kiroba watu wameshatumia fursa mda sana mwaka jana walikamata mzigo feki singida n dodoma ujazo w fuso
Lazima atakua ni mchaga huyu bwana.Yafaa atafutiwe brand name nyingine aendelee uzalishajii TFDA na TBS wampe ushiRikiano
Da, nimeambiwa haya yatamalizwa na Katiba mpya!!