figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
Jeshi la Polisi kikosi cha wanamaji limekamata mafuta ya wizi aina ya Diesel lita 19,700 katika bandari ya Dar es Salaam.
Chanzo: ITV
Chanzo: ITV
Wangeyamwaga tu baharini kwasababu tumechoka na bora iwe hivyo!
Wangeyamwaga tu baharini kwasababu tumechoka na bora iwe hivyo!
to hell with nature Bro. Taking care of nature is a bullsht western propaganda. Yamwagwe tu kwani tumechoka!Leave the nature alone...
to hell with nature Bro. Taking care of nature is a bullsht western propaganda. Yamwagwe tu kwani tumechoka!
nasema YamSasa huo si uharibufu wa mazingira mkuu?
our fore father used to live in a clean condusive environment and we enjoyed the true nature before the invasion of the whites. They're the ones to be blamed for interfering with our normal way of lifeSo sad to think about the clean air you inhale, uncontaminated sea food you eat, and environment you live is Western propaganda. You must be insane...
Utaua viumbe wasio na hatiaWangeyamwaga tu baharini kwasababu tumechoka na bora iwe hivyo!
Ha ha ha haaaa... Mkuu kuna jamaa yangu wa Miaka mingi sana, mwaka 2009 tulikaa mahali tukawa tunapifa story za Kuhangaika na Maisha, me nikamwambia ninaplan ya kwenda kuishi mwanza akasema "MIMI SITOKUJA KUHAMA DAR MPAKA SIKU BAHARI IKAUKE" sikumuelewa sana, niliwaza tu labda kwakua jamaa ni Transporter so anategemea mizigo ya Bandarini.. Ila mwaka huu Ndio nimeelewa maana ya Kauli Yake...Hii bahari haina manufaa yoyote kwa taifa bora ingeondolewa tu wakazi wa mabondeni wahamishiwe huko
Tatizo viongozi nao wamekuwa wafanya biashara sasa unakuta wanaitumia kwa maslahi yao tu not taifa hapo ndipo unapoona hii bahari ni useless kwa taifa.Ha ha ha haaaa... Mkuu kuna jamaa yangu wa Miaka mingi sana, mwaka 2009 tulikaa mahali tukawa tunapifa story za Kuhangaika na Maisha, me nikamwambia ninaplan ya kwenda kuishi mwanza akasema "MIMI SITOKUJA KUHAMA DAR MPAKA SIKU BAHARI IKAUKE" sikumuelewa sana, niliwaza tu labda kwakua jamaa ni Transporter so anategemea mizigo ya Bandarini.. Ila mwaka huu Ndio nimeelewa maana ya Kauli Yake...
Yaani kuna jamaa wanaitumia hiyo BAHARI as if Ni Yao pekeyao.. Hii kitu inaumiza sana.
Bado haijafahamika. Yamekamatwa yakiwa katika jahazi..yakielekea Zanzibar.Yameibiwa Wapi ?