Polisi TZ na Tuhuma ya Picha Chafu za Ngono | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi TZ na Tuhuma ya Picha Chafu za Ngono

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Oct 6, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [h=1][/h]
  [​IMG]
  Nilikuwa busy napekua katika mitandao kadhaa...Kusema kweli nilipatwa na mshangao mkubwa baada ya kuinasa picha ya afande live ikizagaa katika mitandao ya udaku......

  Kwa kweli sina lolote la kusema na sijui alizipiga lini na kwa lengo gani.....Naamini gazeti la AMANI lina data kamili
  [​IMG]
   
 2. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Huna cha kufanya umbea tuu
   
 3. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Awali ya yote naomba maana ya picha chafu za ngono!
   
 4. AKILImuchknow

  AKILImuchknow JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 216
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  DuH!.hiYo iShakuA soO! EnDelea nA uDaku mkUu mpAka tuJuE mWish0 wakE.
   
 5. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kwajinsi muhusika alivyocalm na poz la picha bila shaka alikuwa na mpenziwe wakitaka kupiga game na alikubal kupigwa picha wilingly coz anamwamin mpenzie, problem ni huyo kahab* wa kiume kusambaza picha za mwenzake
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  kila mtu anafanya hayo cha ajabu ni nini? Mwacheni mama wa watu ajilie starehe zake.
   
 7. bologna

  bologna JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 1,163
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  enheee.
   
 8. f

  fumba Member

  #8
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mmmmmmhhhhhhhhhhh duuuuhhhh huuu ni umbeaa uliokithiri uUTAJIJUAA MWENYEWE
   
 9. kinyoba

  kinyoba JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 1,238
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Sasa picha chafu za ngono mbona sijaziona??
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,436
  Likes Received: 22,349
  Trophy Points: 280
  huyu ni njagu, mwela, ndata au ?
   
 11. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #11
  Oct 6, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,363
  Likes Received: 6,701
  Trophy Points: 280
  naaam!!una maanisha each!!!!!
   
 12. C

  Cognitivist JF-Expert Member

  #12
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 778
  Likes Received: 986
  Trophy Points: 180
  She looks consumable.
   
 13. M

  Moony JF-Expert Member

  #13
  Oct 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ambaye hajawahi kukaa uchi chumbani kwake na AMPIGE NA JIWE! (Amuhukumu)
   
 14. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #14
  Oct 6, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hiyo siyo picha chafu ya ngono. Hizo picha nadhani wengi wanapiga, shida ni pale zinapoingia hadharani. Sioni shida hapo, zaidi ya kuingilia privacy za watu.
   
 15. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #15
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni picha ya kawaida akiwa chumbani kwake;alieivujisha ndio ashitakiwe,kama mtu wake wa karibu akaeleze kwenye vyombo vya sheria kwa nini ametoa picha za mwenzi wake bila ridhaa!!au aliempiga picha nae aulizwe kwa mkono wa sheria!
   
 16. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #16
  Oct 6, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Mkuu niko na wewe hapo.. Kuna raia wako so fast katika kuwalaumu na kuwaita wengine malaya na wahuni.. wakati wao wanafanania hivyo.. Hizo pics hakukusudia zifike hapo nadhani hao wenye gazeti waulizwe walizipata wapi.. Na kwanini waziweke kwenye front page.. Hii tabia ya kuingiza mapesa kwa kuwadhalilisha raia wenzio ni sawa kabisa na ufisadi..
   
 17. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #17
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  aseee babaangu hata mimi sijaona picha chafu unajuwa watu hawazijui picha chafu,,picha chafu k nje nje hapa sijaona kitu
   
 18. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #18
  Oct 6, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Peleka umbea wako Fb huko hapo kuna nini kichafu ndo kwanza watu wamekipenda
   
 19. M

  Martinez JF-Expert Member

  #19
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 518
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Shigongos blackmailing business. Huyo dada amshitaki aliyempiga na kusambaza. Cause it may happen to anyone. Hata wewe unaweza pigwa unaoga then kutakiwa dau
   
 20. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #20
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Huyu dada akiweza akamloge huyo aliyeisambaza hii picha kwani kumpiga picha mpenzi wako akiwa uchi ni jambo la kawaida kabisa tena kama unasafiri inatia hamasa kuondoka na picha zake njiani unazitazama.Ila huyu bwana wa huyo polisi ni limbukeni wa mapenzi dada ajitahidi kumfanyizia.
   
Loading...