- Thread starter
- #21
Siku wakiku.... utanikumbuka and it will be too late😄😄😄 Kama una hasira Sanaa Basi kunywaa Sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni
Siku wakiku.... utanikumbuka and it will be too late😄😄😄 Kama una hasira Sanaa Basi kunywaa Sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni
Camera zipo na namba za gari zilishapatikana, kila kitu kiko vizuri tunaenda vizuri tutawaaibisha. Ngoja tuoneHawa viongozi wa upinzani nao wana shida sana ya security, hadi leo inaingia akili kweli unajua muda wowote unatekwa na hujaweka vifaa vya ulinzi angalau nyumbani kwako Kama camera tu? Bora utekwe kwnye misele ushahidi unaweza kuwa shida Ila nyumbani kwako? Tena alfajiri au usiku? Ni uzembe kwa ujumla!
Itakuwa jambo la maana familia nzima ipige kambi kwenye kituo cha polisi mpaka kieleweke.Kwa masikitiko na wasiwasi mkubwa, tumepokea taarifa kuwa Mr. Jose Mbeya, ambaye ni mwanachama wa CHADEMA, amechukuliwa leo alfajiri na watu waliojitambulisha kuwa ni maafisa wa Polisi.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na ndugu zake, watu hao walieleza kuwa wanampeleka katika Kituo cha Polisi Gezaulole, Kigamboni, na baadaye Polisi Kati (Central), Dar es Salaam.
Hata hivyo, kinachozua hofu na maswali mazito ni kwamba ndugu zake walipofika Kituo cha Polisi Gezaulole waliambiwa amehamishiwa Chang'ombe. Walipofika Chang'ombe, walielezwa kuwa mtu huyo hajafikishwa katika kituo hicho. Kwa sasa ndugu zake wanaelekea Polisi Kati (Central) kuendelea kumtafuta.
Jambo la kuhuzunisha zaidi ni kwamba simu zake bado zinaita lakini hakuna anayezipokea, huku mahali alipo na hali yake vikiwa havijathibitishwa.
Mazingira haya yanaibua wasiwasi mkubwa kuhusu usalama wake na iwapo kweli amechukuliwa na vyombo rasmi vya dola. Kwa kuzingatia kuwa Mr. Jose Mbeya ni mwanachama wa CHADEMA, hali hii inazua pia hofu kwamba huenda tukio hili likawa miongoni mwa matukio ya utekaji yanayodaiwa kufanyika kwa kutumia kivuli cha Polisi. Hata hivyo, bado hakuna uthibitisho wa kutosha kufikia hitimisho hilo.
Ni jambo la kusikitisha sana kuona familia ikizunguka kutoka kituo kimoja cha Polisi kwenda kingine bila kupata majibu ya uhakika kuhusu ndugu yao.
Tunatoa wito kwa Jeshi la Polisi kutoa ufafanuzi wa haraka kuhusu mahali alipo Mr. Jose Mbeya, hali yake ya usalama na sababu za kuchukuliwa kwake, ikiwa kweli anashikiliwa na Polisi.
Familia yake inastahili kupata majibu, na haki zake za msingi zinapaswa kuheshimiwa.
Mungu amlinde Mr. Jose Mbeya popote alipo. Tunatumaini atapatikana akiwa salama.
🕊️ HAKI YA KUISHI, KUWA SALAMA NA KULINDWA NA SHERIA NI HAKI YA KILA MTANZANIA. Tafadhali saidia kusambaza ujumbe huu, Jose sio Gaidi
Yeah ila kesho tutajua tuItakuwa jambo la maana familia nzima ipige kambi kwenye kituo cha polisi mpaka kieleweke.
Qmmmk unafrwa wwUnaliamrisha na kutoa Amri kwa jeshi la Polisi Ukiwa kama nani? Huna adabu kabisa Wewe.
Nyie CHADEMA ni wa kukamatwa tu tena hata bila ya kufuata utaratibu.
Mfano kile kidada Ki Hilda Newton Siku ya kukamatwa kwake inatakiwa kutandika hadi Virungu kila Sehemu ya mwili wake hadi akili akikae sawa .
Sina Huruma kanisa kwa CHADEMA Mimi Maana ni watu wa hovyo Sanaaaa. Embu Angalia kama huyo Hilda Newton kila siku anafanya kazi ya kutukana na Kuwadhalilisha viongozi wetu .
Nasema hivi sina huruma na yeyote anayeitwa CHADEMA. Kila Baya na chungu liwe juu yenu .Mpate Mateso makali kila Mkikamatwa hadi akili ziwakae sawa
Saaafi kabisa Anastasia huyuQmmmk unafrwa ww
Weka namba za gari hadharani. Ikiwezekana na picha ili waone aibu lkn mnavyozihifadhi mnakosea sana.Camera zipo na namba za gari zilishapatikana, kila kitu kiko vizuri tunaenda vizuri tutawaaibisha. Ngoja tuone