Polisi sasa kuanza msako misikitini

Status
Not open for further replies.

sulphadoxine

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,257
645
Jeshi la polisi limeanza uchunguzi wa kubaini endapo kuna misikiti inayotumika kuhamasisha vurugu nchini.Msemaji wa jeshi hilo Advera Senso alitoa kauli hiyo Dar es Salaam jana wakati akizungumza na gazeti la jambo leo kuhusu kauli iliyotolewa juzi na imamu Bukhary Sheikh Khalif Khamis,kuwa kuna baadhi ya misikiti inatumiwa kujifunzia kareti na kuhamasisha vurugu nchini,hivyo kuishushia heshima dini ya kiislamu na kuonekana kama dini ya wahuni.

Source ya habari hii ni gazeti la jambo leo la leo tarehe 26/02/2013
 
Kilio cha Wakristo na wananchi wapenda amani sasa kinaanza kushughulikiwa, ninachopenda kukosoa ni kulitoa hili kumtangazia "MWIZI" kuwa sasa naweka POLISI nyumbani kwangu ukija utakutana na POLISI.
Hivi kweli hawa Polisi wana "WELEDI" WA KUFANYA KAZI YAO KWELI, IWEJE UNAPOTAKA KUFANYA UCHUNGUZI FULANI UNATOA TANGAZO? UNAMDANGANYA NANI, KESHO UTAWAKUTA HAO MNAOWATAFUTA WAKIWA NA MAJAMBIA YAO. TUMIENI AKILI JAMANI

aisee ndo tulipofikia sasa misako misikitini?
Mungu tusaidie.
 
Kilio cha Wakristo na wananchi wapenda amani sasa kinaanza kushughulikiwa, ninachopenda kukosoa ni kulitoa hili kumtangazia "MWIZI" kuwa sasa naweka POLISI nyumbani kwangu ukija utakutana na POLISI.
Hivi kweli hawa Polisi wana "WELEDI" WA KUFANYA KAZI YAO KWELI, IWEJE UNAPOTAKA KUFANYA UCHUNGUZI FULANI UNATOA TANGAZO? UNAMDANGANYA NANI, KESHO UTAWAKUTA HAO MNAOWATAFUTA WAKIWA NA MAJAMBIA YAO. TUMIENI AKILI JAMANI

ndo polisi wetu hao....utakuta wanamtafuta mwizi na wanaomba wananchi wawasaidie kumtafuta hafu hawatoi picha sasa sijui tutamjuaje huyo mwizi.
 
We are now moving in circles.. Bado hatujamjua adui tunayepambana naye.
This is not fair. Where is prefessionalism? intel? Everybody is polarised. Police,media etc. We are going to 'fall apart' as a nation.
 
ukiwa mwoga na mwenye nguvu kidogo, inabidi uwe na maneno ya mkwara na matangazo.
 
Kilio cha Wakristo na wananchi wapenda amani sasa kinaanza kushughulikiwa, ninachopenda kukosoa ni kulitoa hili kumtangazia "MWIZI" kuwa sasa naweka POLISI nyumbani kwangu ukija utakutana na POLISI.
Hivi kweli hawa Polisi wana "WELEDI" WA KUFANYA KAZI YAO KWELI, IWEJE UNAPOTAKA KUFANYA UCHUNGUZI FULANI UNATOA TANGAZO? UNAMDANGANYA NANI, KESHO UTAWAKUTA HAO MNAOWATAFUTA WAKIWA NA MAJAMBIA YAO. TUMIENI AKILI JAMANI

Hapo ndipo tatizo lilipo. Isije kuwa lengo lao ni kutaka wasiwakute manake haiingi akilini kumtangazia mhalifu kwamba nakuja kukukamata. Hayo yote ni Tanzania tu.
 
Wasijidai hawafahamu misikiti gani inawafunza vijana judo,karate na kutumia majambia. Tatizo la watawala wa sasa ni uoga. Hatuwezi jenga taifa imara na lenye umoja kama watawala watakua wanaogopa kuwachukulia hatua watu wakorofi,wachochezi wa chuki za kidini,kikabila na kikanda bila kuangalia ni mwana CCM,mwananchi wa kawaida,kiongozi wa kisiasa ama kidini!
 
hahahahha. nyerere aliewakuta waislam hawajui kama wanahujumiwa kaucha uislam bado upo. na huyo kamanda anajidanganya tu. kwani khalifa khamis ni sheikh naye?

Mtume mwenyewe aliuleta Uislamu na kuuacha, anangomngojea alama ya Kiama (YESU) aje siku ya kiama kwaajili ya kumpa hukumu soma kitukufu chenu utajua hili, Eti mtume wa Mungu mimi mwanadamu nimuombee rehema na huruma ya ziada. Thubutuuuuu
 
Wangekua na nia ya kuwakamata wahusika wasingetangaza kwenye vyombo vya habari kuwa wanafanya msako huu.
Hizi ni danganya toto.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom