umwana asha maana yake nini?Umwana asha ndio unawatuma hivyo
umwana asha maana yake nini?
Wakileta fujo kushindana na dola, tandika tu, hakuna kuwawachia, wanatandikwa na bado wansema Serikali "legelege" jee, ukiwawachia, si watakutia vidole (vya macho).
Mkuu Mi najua kwanini unasema hivyo! Hauko kwa ajili ya Tanzania na Watanzania, Kwako wewe Maslahi yako kwanza na si Taifa. Na watu wa aina yako wako tayari kufanya lolote, hata ikiwa kuchinja watoto wenu ili mradi tu ugange njaa zenu..Wakileta fujo kushindana na dola, tandika tu, hakuna kuwawachia, wanatandikwa na bado wansema Serikali "legelege" jee, ukiwawachia, si watakutia vidole (vya macho).
Unamaanisha nini kusema ukiwaachia? swala ni kuwa hawapaswi kisheria kufanya hivyo! Huu ni ushahidi wa utawala ulio juu ya sheria na ukiukwaji wa haki za binadamu. Jiulize, wanafanya kwa faida ya nani?Kweli roboti roboti tu.Wakileta fujo kushindana na dola, tandika tu, hakuna kuwawachia, wanatandikwa na bado wansema Serikali "legelege" jee, ukiwawachia, si watakutia vidole (vya macho).
we kweli mvuta bangi na imeshafikia hatua ya kukuharibu kichwa, MKUU I AM PRAYING FOR U! SI KOSA LAKO.Wakileta fujo kushindana na dola, tandika tu, hakuna kuwawachia, wanatandikwa na bado wansema Serikali "legelege" jee, ukiwawachia, si watakutia vidole (vya macho).
Polisi wa Tanzania sijui wamelishwa nini, wamekuwa kama si watoto wetu, kaka na dada zetu, wamekuwa kama hawana shida kama walizonazo watanzania wa kawaida wamekuwa kama vichaa kazi ni kuua tu tu tu!!