Polisi na Moduli majambazi na bunduki

Polisi na Moduli majambazi na bunduki

bob kipisto

Member
Joined
May 28, 2013
Posts
5
Reaction score
2
msione majambazi wanatamba mitaani tatizo polisi wapo bize kufanya mitihani ya moduli ili wapate vyeo leo nimeenda kituo kimoja nimekuta wapo bize na mitihani huku raia wakiwa wamejazana kituoni kutaka huduma
 
Polisi na MONDULI wapi na wapi??? Naomba hapa urekebishe story iwe sahihi MKUUU
 
hata mimi sijamwelewa huyu jamaa na hii taarifa yake .hebu aiweke sawa tena
 
labda alitaka kuandika hivi

polisi na moduli, majambazi na bunduki

ila bado kiufupi haueleweki
 
kuna vitabu wamepewa polisi watoe kopy vinaitwa moduli kwa mujibu wa wenyewe kuna notes nyingi humo ambapo inabidi wazisome na kujibu mitihani na wameambiwa usipokibu hiyo mitihani hupati cheo sasa wapo bize kwenye hayo maana kila mtu anataka cheo kuna maeneo nimepita huwa wanaekaga point leo hawapo nimewakuta kwenye mitihani
 
msione majambazi wanatamba mitaani tatizo polisi wapo bize kufanya mitihani ya moduli ili wapate vyeo leo nimeenda kituo kimoja nimekuta wapo bize na mitihani huku raia wakiwa wamejazana kituoni kutaka huduma

Ahahaha mkuu ndo maana baba naye siku hiziz yupo bize home anasoma mi namshagaa kumbe ni mambo ya moduli!??🙂:shock:
 
Acha kudanganya watu wewe.

Ni kweli huyo jamaa hajui, polisi hawana mitihani ya module yoyote ile ili waweze kupandishwa cheo au vyeo. Hata hivyo hao polisi hata kama walikuwa wanafanya mtihani ni lazima kwanza hali ya usalama itazamwe kwa kina ili waendelee.

Nadhani mleta mada hana jipya zaidi ya kutaka kuaminisha watu uongo.
 
naomba msijibu bila kuwa na uwakika kama kuna askari polisi uko nae karibu muulize mm nilikwenda nimeshuhudia na imeandikwa MODULI hivyohivyo
 
Ahahaha mkuu ndo maana baba naye siku hiziz yupo bize home anasoma mi namshagaa kumbe ni mambo ya moduli!??🙂:shock:

muulize atakwambia uwatoe shaka hawa wanaojibu vitu bila kuuliza kwa undani
 
Wanaongea wanachokickia
mi naongea nilichokiona ni kweli hata mtoto wa anko yangu njagu nimemuuliza kasema ni kweli na kanionyesha hiyo moduli
 
Watanzania hawadanganyiki sasa. Moduli wa polisi hauathiri utendaji wa kazi zao.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
msione majambazi wanatamba mitaani tatizo polisi wapo bize kufanya mitihani ya moduli ili wapate vyeo leo nimeenda kituo kimoja nimekuta wapo bize na mitihani huku raia wakiwa wamejazana kituoni kutaka huduma

ueleweke bwana, taarifa gani unatuletea humu?
 
Back
Top Bottom