Acha majungu yako humu, kila siku mnaambiwa mkidaiwa rushwa mpige simu kwa wakubwa wao tena wengine wanakuwa around. sasa kinachokufanya ulete majungu yako humu ni nini?, Kama ulifuata taratibu zote uliogopa nini kufoward issue yako mbele? Acha Tabia za kike.