lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,607
- 2,064
Samahani kidogo mjomba! Mimi binafsi yangu natilia shaka saaana mazungumzo yako kuwa polisi " alishirikiana na mlalamikaji wako kukubambikia kesi".Huyo mwenye kesi ndo alishirikiana na hao polisi kunibambikia hiyo kesi.. Pia niliwasikia wakizozana wao kwa wao baada ya kuona sina hatia yoyote ndio wakang'ang'ania niwape hiyo hela kama usumbufu wa kuishughulikia kesi yangu au waipeleke mbele nikashindane nao mahakamani..
Nikaona potelea mbali Funika Kombe Mwanaharamu apite.. Nikawapa tu hiyo hela yaishe!
Halafu unasema walipogundua kuwa huna hatia. Ndipo wakang'ang'ania uwape hizo pesa iweje wagundue? Wakati wanakubambikia kesi