Polisi mnatia aibu

Polisi mnatia aibu

2014 ilitokea ajali mbaya iliyoondoka na roho za watoto watano
Gari ya polisi ilizikuta gari mbili zimesimama kwenye zebra kupisha wanafunzi wapite... Gari ya polisi ikazi over take zile gari 2 na kuwagonga watoto 8 kwa mpigo, wanne walifia palepale.... Kesi ile ilivyoisha Mungu tu na wahusika ndio wajuao

Jr[emoji769]
Tanzania tutaendelea kupigika kwasababu ya damu nyingi za watu kumwagwa bila hatia. Wale mnaoimba kila siku nchi ya uchumi wa kati na viwanda, kwa Taanzania hilo msahau.
 
2014 ilitokea ajali mbaya iliyoondoka na roho za watoto watano
Gari ya polisi ilizikuta gari mbili zimesimama kwenye zebra kupisha wanafunzi wapite... Gari ya polisi ikazi over take zile gari 2 na kuwagonga watoto 8 kwa mpigo, wanne walifia palepale.... Kesi ile ilivyoisha Mungu tu na wahusika ndio wajuao

Jr[emoji769]
Inauma sana mkuu
 
Hao maaskari wote waliopo ktk hilo gari lazima wtakua wamepandishwa vyeo
Lkn laiti angekua mtoto wangu ni miongoni mwa wale waliopata ajali na imani kesi ingefika hadi AICC[emoji1321]‍♂️
 
Back
Top Bottom