Polisi mnatia aibu

Siku zote wao huwa wapo sawa,na hio pic mkulu akiiona dereva lazma apandishwe cheo[emoji1321]‍♂️
 
Asilimia kubwa ya vyombo vyetu vya ulinzi viko juu ya sheria na wanalindana haswa ikitokea ajali hapo kosa ni la yule anayekuja.
 
Barabara ya mwendokasi ndio kabisa kila gari la Serikali linaona lina haki ya kupita,kuna magari ya Polis na JW huwa yanapita upande wa kulia kutokea Mabibo hostels kwenda Mataa ya Ubungo
Kuna siku yatatokea ya Ambulance la UD

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zote wao huwa wapo sawa,na hio pic mkulu akiiona dereva lazma apandishwe cheo[emoji1321]‍[emoji3603]
Asilimia kubwa ya vyombo vyetu vya ulinzi viko juu ya sheria na wanalindana haswa ikitokea ajali hapo kosa ni la yule anayekuja.
2014 ilitokea ajali mbaya iliyoondoka na roho za watoto watano
Gari ya polisi ilizikuta gari mbili zimesimama kwenye zebra kupisha wanafunzi wapite... Gari ya polisi ikazi over take zile gari 2 na kuwagonga watoto 8 kwa mpigo, wanne walifia palepale.... Kesi ile ilivyoisha Mungu tu na wahusika ndio wajuao

Jr[emoji769]
 
Wanawahi bwana, wewe ukiwa kama mtoto kwani unamamlaka ya kumpangia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…