Polisi: Lissu hatoki

Atanyooka tu.
Leo ni jumapili Padre katusisitizia leo kuwapenda maadui zetu na kuwaombea .Nakushangaa kufurahia mateso ya mwenzio hata kama ni adui yako.Sijui hicho kiguest house chako Bariadi ndicho kimefanya upoteze utu au ni ukabila. Mbona ulikuwa mtu wa maana hapo awali?!!.
 
Kimeshawaka kwa kamanda mwanasheria msomi nguli rais wa TLS, Tundu Lisu. Yupo selo kwa sasa anakunywa uji na maharage kwa kuchezea amani.
MaBashite ya ccm kula uji na maharagwe ni tunu kwa mkombozi na ushuhuda kwamba serikali ya ccm ni dhaifu haifai haiwezI kuboresha selobali kujinufaisha kwa kikabila kikanda na kindugu kumbuka hayo ndio maisha ya wako mboni dunia nzima
 
Mwalimu huyohuyo ndio mliokua mnamtolea lugha za kughafirisha kipindi kile bungeni na huyo ADVOCATE wenu MLOPOKAJI! He destroy CDM reputation, watch it.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kamtolea Mwalimu lugha za kughafirisha wewe!? Acha kukurupuka na kuandika pumba kama huna evidence. Na Mlopokaji ni mdudu gani?

Mwalimu huyohuyo ndio mliokua mnamtolea lugha za kughafirisha kipindi kile bungeni na huyo ADVOCATE wenu MLOPOKAJI! He destroy CDM reputation, watch it.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atanyoka..tunahitaji utulivu tupige kazi sasa. Sio siasa mda wore. Shika Hugo hadi 2020..aje agombee akimaliza shika tena hadi 2025. Akili za wknend hizi
 
Nani kamtolea Mwalimu lugha za kughafirisha wewe!? Acha kukurupuka na kuandika pumba kama huna evidence. Na Mlopokaji ni mdudu gani?
Mkuu BAK hili nalo hukulisikia? Ingia basis hata Google. Maana watu kama we huwa sitaki kuwatusi ila acha Leo nikuite Nyumbu.
 
Chadema walifungulie jeshi la Polisi kesi na huyo mkondya awe mshitakiwa namba moja kwani inaelekea ni mwanachama wa CCM kajificha kwenye kivuli cha upolisi, pia inaelekea Mkondya anasaka cheo cha kamanda maalum kaamua kuwatumia chadema kama daraja la kujipendekeza kwa Mtukufu malaika toka chato.
 
Mwalimu mwenyewe alitamka hadharani kwamba kuna makosa alifanya mengi tu bila kukusudia au kwa kushauriwa vibaya. MACCM kwani hayamkusema Mwalimu vibaya!?

Na nyumbu ni baba yako na mama yako.

Mkuu BAK hili nalo hukulisikia? Ingia basis hata Google. Maana watu kama we huwa sitaki kuwatusi ila acha Leo nikuite Nyumbu.
 
Njia pekee ya kuwakomesha Polisi wanaojipendekeza kwa Mtukufu malaika wa chato ni kuwashitaki kwenye mahakama ya ICC The Hague huko ndipo watapata fundisho kubwa na itakuwa mwisho ya Udikteta wao wa kusaka sifa na vyeo kwa mgongo wa chadema na Wapinzani kwa ujumla.
 
YANI wanapaswa uyo tundu wamshikishe adabu kama hakojoi tuone akae siku nzima bila kukojoa dawa yake wamuwekee chumba cheupe kisicho na choo akikojoa chini fresh tu mwehu sana uyo mishavu
 
Mwalimu mwenyewe alitamka hadharani kwamba kuna makosa alifanya mengi tu bila kukusudia au kwa kushauriwa vibaya. MACCM kwani hayamkusema Mwalimu vibaya!?

Na nyumbu ni baba yako na mama yako.

Polisi wengi wamegundua njia rahisi ya kupata cheo ni kuwanyanyasa kuwabambikia kesi chadema, wameungana na Bashite Maliyamungu kuwatengenezea kesi huku Profeselii mjinga mjinga Lipumba akila pesa za CCM na kuzidisha kuwadhoofisha Wapinzani, malipo ni hapa hapa Duniani walikuwepo akina Sadam, Mabutu, Abacha, Bokassa, Chiluba, Gadafi, makaburu wa Africa kusini wapo wapi Leo?
 
YANI wanapaswa uyo tundu wamshikishe adabu kama hakojoi tuone akae siku nzima bila kukojoa dawa yake wamuwekee chumba cheupe kisicho na choo akikojoa chini fresh tu mwehu sana uyo mishavu
tunajua kuwa wewe na Le mutuz na boss wenu Bashite a.k.a Maliyamungu wa enzi ya idd Amin, mmetengeneza maji na chakula mkaweka dawa za kulevya na slow poison mmepeleka rumande ili Lisu anywe baadae mkapime upate kumbambikia kesi feki ya mkojo kukutwa na unga, hizo njama zako zote watanzania wanazijua na kwa nini umekuwa na Roho mbaya hivyo? Kwani wewe hutakufa? Kesi ya uchochezi na mkojo wapi na wapi? Akili zenu zimedumaa mnawafanya watanzania ni wajinga sana kumbe wana Akili kuliko nyie vidudu watu wenye Roho za shetani, Kumbuka malipo ni hapa hapa Duniani fanyeni unyama wenu wote lakini Mungu atawalipa mda si mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…