Polisi kushirikiana na vibaka

Polisi kushirikiana na vibaka

dundula

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
539
Reaction score
139
salam wana jf kuna tukio la mauaji kubaka na kudhalilisha wanawake lilitokea mwezi uliopita katika mtaa wa luchelele wilaya ya nyamagana ktk jiji la mwanza bahat nzur waathirika waliwatambua watu waliofanya hilo tukio na kuwataja na hatimaye kwa juhud za wananchi wakafanikiwa kuwakamata na kuwafikisha ktk vyombo husika lkn cha ajabu baada ya sku chache hao jamaa waliachiwa huru bila kumtaarifu hata mwenyekiti wa mtaa na wakaanza kutamba na kuwatishia wananchi waliowataja hv kwa hali hii polis tutawaamini?
 
We akili huna au unajitoa akili! Kwani ukishakamatwa na polisi unatakiwa unyongwe or? Kuna makosa ambayo dhamana iko wazi, na unajua mtu hapashwi kukaa mahabusu zaidi ya saa 24 bila kufikishwa mahakamani, na hata akifikishwa hapo mahakamani anayo haki ya kudhaminiwa endapo makosa yake hayaangukii katika kundi la non-bailable ofences: (see Criminal procdure act sect, 148 ) hapo utaelewa, sasa swala la mtu kurudi mtaani ikiwa kesi haijaisha vp useme polisi wanashirikiana na vibaka?! Acha akili za ki bavicha.
 
kwa hiyo kesi ya mauaji ina dhamana? na isitoshe polisi waliwashikilia wk nzima bila kuwafikisha mahamani km sio kutengeneza mazingira ya rushwa ni nn?
 
We akili huna au unajitoa akili! Kwani ukishakamatwa na polisi unatakiwa unyongwe or? Kuna makosa ambayo dhamana iko wazi, na unajua mtu hapashwi kukaa mahabusu zaidi ya saa 24 bila kufikishwa mahakamani, na hata akifikishwa hapo mahakamani anayo haki ya kudhaminiwa endapo makosa yake hayaangukii katika kundi la non-bailable ofences: (see Criminal procdure act sect, 148 ) hapo utaelewa, sasa swala la mtu kurudi mtaani ikiwa kesi haijaisha vp useme polisi wanashirikiana na vibaka?! Acha akili za ki bavicha.

kwa taarifa yako baada ya wananchi kuchachamaa na kumuita mkuu wa kituo cha polisi igogo na kumtaka atoe ufafanuzi wa kina kuhusu kuwaachia watuhumiwa hao alishindwa kujieleza mbele ya wananchi na akaambiwa waz kias cha pesa alichohongwa na hao vibaka na vyombo vya habar kutangaza hilo tukio ikabid jana polisi wawakamate tena ila wengine tayar wametoroka kwahiyo usiwe unakurupuka kuongea km mlevi
 
Dhamana ni haki ya mtuhumiwa acha ushabiki kwani nyie si mahakama hivyo hamna mamlaka ya kusema wale wametenda na mtoe hukumu polisi wanayo haki ya kutoa dhamana kwa mujibu wa sheria. Swala la wananchi kutaka kumshambulia mkuu wa kituo ni mob saikoloj tu ambayo inaweza kuwa sahihi au siyo sahihi kama inategemea nani aliyewajenga kisaikolojia na akilikuwa na nia gani na ana uelewa wa kiwango gani juu ya matukio kama hayo
 
sawa ila dhamana inategemea na aina ya kesi alafu km ushahid wa tukio uko waz kwann mtuhumiwa asifikishwe mahakaman na km ni dhamana aipate hukohuko mi nafikir upelelez wa tukio km hilo wanamtaa pamoja na wale waathirika wa tukio ndo wakushirikiana kukupa ushuhuda kabla ya yote lkn hilo suala halikufuatwa!
 
Je umeambiwa kesi imefutwa? Kama waliokamatwa ni kaka zako au baba zako ungesema wasipewe dhamana?. Futilia kesi kwa hatua siyo kupaniki. Ebu jiulize ungekuwa wapi kama yule mkuu wa kituo mngemuua? Achana na mob saikoloj kumbuka wahenga walisema mchuma janga hula na wakwao aliyekushawishi atakuwa hayupo wakati wewe unahema kwa tabu katika chumba kichafu chenye msongamano wa watu aliyekushawishi anakula bata na familia yake.
 
Askari sio kabisa, kuna askari wengi tu wanashirikiana na waalifu hapo ndio inakuwa shida hata raia mwema kutoa taarifa za ualifu kwa jeshi la polisi.
 
Dhamana ni haki ya mtuhumiwa acha ushabiki kwani nyie si mahakama hivyo hamna mamlaka ya kusema wale wametenda na mtoe hukumu polisi wanayo haki ya kutoa dhamana kwa mujibu wa sheria. Swala la wananchi kutaka kumshambulia mkuu wa kituo ni mob saikoloj tu ambayo inaweza kuwa sahihi au siyo sahihi kama inategemea nani aliyewajenga kisaikolojia na akilikuwa na nia gani na ana uelewa wa kiwango gani juu ya matukio kama hayo

Naomba nijue hili, hivi mtuhumiwa wa ujambazi anapopewa dhamana unategemea nini akirudi uraiani? kwanini watu waishi kwa wasiwasi kwa ajili ya kakundi tu ka watu. binafsi mi naona hao wanakijiji waandae mazingira yakuwadaka kisha wawape kichapo cha mbwa mwizi ikibidi moto uhusike. ili amani irudi
 
Je umeambiwa kesi imefutwa? Kama waliokamatwa ni kaka zako au baba zako ungesema wasipewe dhamana?. Futilia kesi kwa hatua siyo kupaniki. Ebu jiulize ungekuwa wapi kama yule mkuu wa kituo mngemuua? Achana na mob saikoloj kumbuka wahenga walisema mchuma janga hula na wakwao aliyekushawishi atakuwa hayupo wakati wewe unahema kwa tabu katika chumba kichafu chenye msongamano wa watu aliyekushawishi anakula bata na familia yake.

Kwahiyo hayo majalada ya kesi yanasubir wasiohusika au ndo ile tabia yenu yakubambikia watu kesi na kuwafungulia kesi zisizowahusu huku wahusika mnawajua kwa ufupi adhabu haina cha baba au kaka kwasababu hilo tukio sio la bahati mbaya ni watu wamelitenda makusudi ili wanyag'anye watu mali zao sasa km hata ni ndugu yako unamhurumia nini na huku ameua na kuacha wemgine wakiwa yatima na waliobakwa mpaka sasa ndoa zao zimevunjika acha kutetea uovu uliapa kulinda raia wa tz!
 
Pole sana kijana umeshanituhumu kuwa mimi askari teh teh. Kumbuka kesi zinaendeshwa kwa ushaidi tu na si uvumi hivyo basi kama kesi haina ushaidi lazima mtuhumiwa achiwe tu. Epuka ushabiki angalia pande zote mbili achana na tabia ya kuhukumu maana wewe si mtoa haki.
 
huo ushahidi unaotakiwa ni upi au mpaka picha za video? hata km we so askar ila una akili km zao
 
Teh teh teh teh.haki haiombwi inapiganiwa anza kuipigania sasa maana maneno matupu hayavunji mfupa
 
salam wana jf kuna tukio la mauaji kubaka na kudhalilisha wanawake lilitokea mwezi uliopita katika mtaa wa luchelele wilaya ya nyamagana ktk jiji la mwanza bahat nzur waathirika waliwatambua watu waliofanya hilo tukio na kuwataja na hatimaye kwa juhud za wananchi wakafanikiwa kuwakamata na kuwafikisha ktk vyombo husika lkn cha ajabu baada ya sku chache hao jamaa waliachiwa huru bila kumtaarifu hata mwenyekiti wa mtaa na wakaanza kutamba na kuwatishia wananchi waliowataja hv kwa hali hii polis tutawaamini?

kati ya Idara za serikali zenye uozo wa kutisha ni Polisi
 
Back
Top Bottom