Polisi kukwepa mauaji ya Suguta!

Polisi kukwepa mauaji ya Suguta!

hii ni kinyume na maadili.. wote waliohusika kupiga na kusambaza picha Mungu anawaona
Ni vigumu kuuficha ukweli.Marehemu hakuuawa kwa siri hadi picha zake zisionekane na kusambaa.
Tambua siri hufichwa na mwenye siri sasa hapa mwenye siri ni nani ili naye awajibishwe kwa kusambaza siri yake kwa watu.
Muda umefika kila lililo la siri litajulikana tu.Askari na madaktari huja baadaye wakati picha zishachukuliwa.
 
Lazima watu wajue polisi nao ni binadamu, hawajakamilika, licha ya mafunzo wapatatayo .unapowekwa China ya msingi uwe mpole kidogo, ili ukapate haki mahakamani, ukijifanya nunda eti kisa brother ni Mbunge ,utafupisha maisha kipumbavu, tii Sheria bila shuruti
 
ni vigumu sana ugomvi wa watu wawili mmoja wao kuchomwa kisu mgongoni. unawezazaje kugeuka umwachie adui yako mgongo??

hapo walikua wengi. mmoja akamchoma huku wengine wakmfanya vingine
 
Jeshi la polisi lipo kimkakati kukwepa kuwa wao ndiyo wauaji wakuu wa Suguta aliyechomwa kisu na askari wa doria.
Wanadai askari alikuwa na ugomvi binafsi na marehemu suguta wakasahau kuwa huyo afande Marwa hakuwa pekee yake bali walikuwa askari wengine ambao kwa umoja wao wangezuia maafa hayo na kumkamata bwana Suguta na mmiliki wa bar na kuwafungulia kesi hadi kuwatia hatiani(ikiwa wangekutwa na kosa).
Nguvu hii kubwa kama itaachwa basi hakika walevi tutakoma maana itakuwa mkiwaona askari tu mnajua mwendo wa visu tu.
Jeshi la polisi kaeni chini mjitafakari mahusiano yenu na raia yakoje kwani kwa sasa hakuna anayeliamini jeshi hili imani pekee imebaki kwa JWTZ tu.
Angalieni komenti za watu inapotokea askari kafa au ajali mtajifunza mengi.
Hakuna kukwepa wala kuhusisha ugomvi binafsi na hili askari na jeshi la polisi ndiyo wauaji wakuu wa Innocent,Suguta.
Mungu tusaidie,labda niulze KTU hapo. Iktokea raia ana ugomvi na askari cku ukabahatika kumfuma akiwa ktk majukumu yake na ukamzaba makofi kadhaa kwa kuwa unamzidi mbavu...je hapo itakuwa Fulani kampga Fulani! Au Fulani Kampga askari....
 
Mungu tusaidie,labda niulze KTU hapo. Iktokea raia ana ugomvi na askari cku ukabahatika kumfuma akiwa ktk majukumu yake na ukamzaba makofi kadhaa kwa kuwa unamzidi mbavu...je hapo itakuwa Fulani kampga Fulani! Au Fulani Kampga askari....
Usiombee mziki wake hata ndugu zako watafungwa.Umelishambulia jeshi la polisi.
 
ni vigumu sana ugomvi wa watu wawili mmoja wao kuchomwa kisu mgongoni. unawezazaje kugeuka umwachie adui yako mgongo??

hapo walikua wengi. mmoja akamchoma huku wengine wakmfanya vingine
Marehemu ana siri kubwa.Lakini umesema ukweli.
 
Washasema wao kama Jeshi hawahusiki,
Ule ni Ugomvi binafsi usiohusiana na kabisa Jeshi la Polisi,
Ila Sasa Polisi ameenda vipi na Kisu hapo hata mi sijui.
Hahahahahaaaa....
 
Hakuna Burudani ambayo naisubiri kwa hamu kama maelezo ya Police juu ya hili!
Watakwambia alijichoma. Kama risasi tu ilikata kona sembe na hiko kisu.
Yule kamanda alikiri haraka kupunguza hasira za wakurya maana wangechoma moto kituo ila upepo ukishapoa utasikia vichekesho vya maelezo mpk utakoma mwenyewe.
 
Tumeshazoea, ifike mahali wananchi tujiupdate dhidi ya hawa wapuuzi.
 
Wewe unawaelewa wakurya???? Marehemu na Marwa wote akisema nitakuchoma kisu huwa hawatanii, na kibaya waliongea kilugha. Hata kama waliwatenganisha ila alikuwa keshamjeruhi.
Masihara kwenye sensitive issues kama mauaji yanakusaidia nn...Tungekuwa bado tupo kwenye mfumo wa chama kimoja bado ungekuwa una comment kifedheha kwenye mambo ya mauaji ya raia ?...Ungekuwa unakipenda ccm kiukweli , ungekuwa wa kwanza kukemea kijitenge na mauaji ya raia inayopaswa kuwalinda- Kwa kuchukua hatua, siyo kuwasafisha wauaji!.
 
Washasema wao kama Jeshi hawahusiki,
Ule ni Ugomvi binafsi usiohusiana na kabisa Jeshi la Polisi,
Ila Sasa Polisi ameenda vipi na Kisu hapo hata mi sijui.
Hivi daktari akifanya uzembe na kusababisha kifo cha mgonjwa, ni makosa kulaumu uongozi wa hospitali husika, wafiwa inabidi walie na daktari tu??!!😡😡😡
 
Back
Top Bottom