Polisi kufutwa kazi Misri

Polisi kufutwa kazi Misri

sulphadoxine

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,257
Reaction score
649
Waziri Mkuu wa Misri ameamuru maafisa walioshutumiwa kwa mauji ya waandamanaji kufutwa kazi na kushtakiwa.
110619111738_sharaf_304x171_afp_nocredit.jpg
Essam Sharaf


Waziri Mkuu wa Misri, Essam Sharaf, ameamuru kufutwa kazi kwa maafisa wote wa polisi walioshtumiwa kwa mauaji ya waandamanaji wakati wa vuguvugu za kumpinga Rais Mubaraka mwezi February.
Katika hotuba yake kupitia televisheni, Bw Sharaf alisema afisa yoyote anayetuhumiwa kuuwa raia atashtakiwa.
Alikuwa akizungumza na maelfu ya watu waliondelea na maandamano dhidi ya serikali yake katika eneo la kati kati mwa mji mkuu Cairo.
Waandamanaji wamekuwa wakidai hatua zichukuliwe dhidi ya maafisa wote wa polisi waliohusika na ghasia zilizosababisha mauaji ya watu takriban mia tisa.

 
Ukiona manyoya ujue kaliwa.
Hiyo nimeipenda kuliko zote.misri tutaenda kesho acha tusherehekee kwanza.
 
Ukiona manyoya ujue kaliwa.
Hiyo nimeipenda kuliko zote.misri tutaenda kesho acha tusherehekee kwanza.
Karibu "simba kapakatwa pub" maeneo ya makumbusho,kutakuwa na mchemsho maalumu kwa wanajangwani tu.
 
Back
Top Bottom