nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,014
- 1,896
police ilibidi wajue kila kitu kabla ya wote kwani kila kitu kilipitia kwao kwani kabla hajatibiwa marehemu alikua na pf3 na ajali ilipotokea wapimaji wote ni trafic why leo warudi ka raia ?Hii ni danganya toto kuondoa attention na kufuta ukweli kwamba alikufa kwenye ajali na Dugange!
Tunachojua alikufa kwenye ajali, mnachezesha drama kwa kuupeleka mwili moshi then urejeshwe Singida ionekane hakuwepo dodoma, shwaini kabisa
Hapo Wanapoteza Muda Wao Bure, Kumbe Jambo Lipo HivyoHii ni danganya toto kuondoa attention na kufuta ukweli kwamba alikufa kwenye ajali na Dugange!
Tunachojua alikufa kwenye ajali, mnachezesha drama kwa kuupeleka mwili moshi then urejeshwe Singida ionekane hakuwepo dodoma, shwaini kabisa
Wamekwepa kuhusu ajali!Jeshi la Polisi Tanzania limesema limeona mjadala mitandaoni kuhusiana na kifo cha Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Nusura Hassan Abdallah kilichotokea Mkoani Kilimanjaro ambapo taarifa hizo zimekuwa zikihusisha kifo hicho na ajali iliyotokea Jijini Dodoma ikimhusisha Naibu Waziri TAMISEMI Dkt. Festo Dugange lakini pia taarifa nyingine zinadai kifo chake kimetokana na kipigo kutoka kwa Mpenzi wake ambapo Polisi wamesema wameanza uchunguzi kuhusu taarifa hizo.
Akitoa taarifa hiyo leo May 06,2023, Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime amesema “Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi kuwa, Polisi Mkoa wa Kilimanjaro baada ya kuona taarifa hizo kupitia mitandao ya kijamii na sababu zinazotolewa, wameshaanza uchunguzi kwa Watu mbalimbali, Hospitali alikotibiwa Binti huyo ambapo na wanashirikisha Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na Wadau wengine wa haki jinai”
Aidha Jeshi hilo limetoa wito kwa Mtu yeyote mwenye taarifa zilizosahihi na zenye ukweli asisite kuwapa Polisi taarifa hizo ili kuharakisha uchunguzi wa tukio hilo.
“Uchunguzi wa tukio hilo ukikamilika taarifa kamili ya kilichobainika itatolewa kwa umma kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za Nchi”
#MillardAyoUPDATES
Peleka taarifa Jeshi la Polisi.Hii ni danganya toto kuondoa attention na kufuta ukweli kwamba alikufa kwenye ajali na Dugange!
Tunachojua alikufa kwenye ajali, mnachezesha drama kwa kuupeleka mwili moshi then urejeshwe Singida ionekane hakuwepo dodoma, shwaini kabisa
Hivi kwanini wanamtetea Huwa waziri asiye na maadili?Hii ni danganya toto kuondoa attention na kufuta ukweli kwamba alikufa kwenye ajali na Dugange!
Tunachojua alikufa kwenye ajali, mnachezesha drama kwa kuupeleka mwili moshi then urejeshwe Singida ionekane hakuwepo dodoma, shwaini kabisa
KUNA NCHI MOJA ,WAO SUALA LA MAADILI HAYAFATILIWI WALA KUZINGATIWAHivi kwanini wanamtetea Huwa waziri asiye na maadili?
Asiye na maadili humtetea mwenzake asiye na maadili.Hivi kwanini wanamtetea Huwa waziri asiye na maadili?
Nadhani vile umalaya nchi hii inaonekana ni haki ya wanaumeKUNA NCHI MOJA ,WAO SUALA LA MAADILI HAYAFATILIWI WALA KUZINGATIWA
ova
Taifa lisilo na maadili ni useless ndio maana Kila report za cag ni upigaji uwajibikaji sifuri kabisaAsiye na maadili humtetea mwenzake asiye na maadili.
Mlevi humtetea mlevi. Hata wezi Wana chama Chao.
Mpenzi wake aliyemuua ameshakamatwa????Jeshi la Polisi Tanzania limesema limeona mjadala mitandaoni kuhusiana na kifo cha Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Nusura Hassan Abdallah kilichotokea Mkoani Kilimanjaro ambapo taarifa hizo zimekuwa zikihusisha kifo hicho na ajali iliyotokea Jijini Dodoma ikimhusisha Naibu Waziri TAMISEMI Dkt. Festo Dugange lakini pia taarifa nyingine zinadai kifo chake kimetokana na kipigo kutoka kwa Mpenzi wake ambapo Polisi wamesema wameanza uchunguzi kuhusu taarifa hizo.
Akitoa taarifa hiyo leo May 06,2023, Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime amesema “Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi kuwa, Polisi Mkoa wa Kilimanjaro baada ya kuona taarifa hizo kupitia mitandao ya kijamii na sababu zinazotolewa, wameshaanza uchunguzi kwa Watu mbalimbali, Hospitali alikotibiwa Binti huyo ambapo na wanashirikisha Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na Wadau wengine wa haki jinai”
Aidha Jeshi hilo limetoa wito kwa Mtu yeyote mwenye taarifa zilizosahihi na zenye ukweli asisite kuwapa Polisi taarifa hizo ili kuharakisha uchunguzi wa tukio hilo.
“Uchunguzi wa tukio hilo ukikamilika taarifa kamili ya kilichobainika itatolewa kwa umma kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za Nchi”
#MillardAyoUPDATES
Upuuzi mtupu tu, Polisi wanajuwa kila kitu na usikute wazazi wa marehemu walishalipwa stahiki zao ili wanyamaze kwa kuwa hiki kifo kinahusishwa na kiongozi mpuuzi wa serikali, wanaficha maovu yake kama walivyofanya kwa Chenge baada ya kuua hawara yake mwanafunzi wa chuo Kikuu Dar. Hii serikali yetu yaani mara 100 ya Magufuli maana alikuwa hataki unafki ila Mama anaufuga.Jeshi la Polisi Tanzania limesema limeona mjadala mitandaoni kuhusiana na kifo cha Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Nusura Hassan Abdallah kilichotokea Mkoani Kilimanjaro ambapo taarifa hizo zimekuwa zikihusisha kifo hicho na ajali iliyotokea Jijini Dodoma ikimhusisha Naibu Waziri TAMISEMI Dkt. Festo Dugange lakini pia taarifa nyingine zinadai kifo chake kimetokana na kipigo kutoka kwa Mpenzi wake ambapo Polisi wamesema wameanza uchunguzi kuhusu taarifa hizo.
Akitoa taarifa hiyo leo May 06,2023, Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime amesema “Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi kuwa, Polisi Mkoa wa Kilimanjaro baada ya kuona taarifa hizo kupitia mitandao ya kijamii na sababu zinazotolewa, wameshaanza uchunguzi kwa Watu mbalimbali, Hospitali alikotibiwa Binti huyo ambapo na wanashirikisha Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na Wadau wengine wa haki jinai”
Aidha Jeshi hilo limetoa wito kwa Mtu yeyote mwenye taarifa zilizosahihi na zenye ukweli asisite kuwapa Polisi taarifa hizo ili kuharakisha uchunguzi wa tukio hilo.
“Uchunguzi wa tukio hilo ukikamilika taarifa kamili ya kilichobainika itatolewa kwa umma kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za Nchi”
#MillardAyoUPDATES
HAwajawahi kuwa maadili hawa Kijani na sirikali wanayoiunda, kuanzia the way Wanavyoingia madarakani wanavyoshika madaraka, wanavyotawala, ni wa hovyo, hivyo usitarajie jema kutoka watu wa hovyo hovyoHivi kwanini wanamtetea Huwa waziri asiye na maadili?