Polisi kuanza 'doria' mtandaoni!

Polisi kuanza 'doria' mtandaoni!

Wakati ni ukuta. Hawezi kupigana na wakati, Kizazi cha Nyerere (typewriter na duplicator) ni kizazi hiki cha computer na scanner.
Hilo la wasanii ni geresha tu. Hii ni mbinu mpya ya Bwana Mkubwa Jiwe kutafuta wanaomtukana mitandaoni.
Huko tunakoelekea mpaka majumbani mwetu tutawekewa vikosi maalum sasa.
 
Hivi hakuna cha maana cha kuinvest zaidi ya kuweka Doria mitandaoni?
 
Jeshi la polisi Tanzania limeandaa kitengo maalumu kitakacho fanya 'doria' mtandaoni kufuatilia wasanii pamoja na wale wanaotumia mitandao ya kijamii vibaya kutuma picha za utupu na video zisizo na maadili.

Akizungumza na waandishi wa Habari mapema hii leo, Msemaji wa jeshi la polisi Tanzania (ACP) Barnabas mwakaluka amesema kuwa kutokana na wasanii wengi kukaidi agizo la kuacha kusambaza picha zisizofaa wameamua kuunda kitengo cha kusimamia na sheria zitaanza kufuatwa kwa wote watakaopatikana na hatia hiyo kwa kupelekwa mahakamani.
Ni Vituko Kukesha Mitandaoni Ili Kunasa Wapost Hizo Picha
 
Jeshi la polisi Tanzania limeandaa kitengo maalumu kitakacho fanya 'doria' mtandaoni kufuatilia wasanii pamoja na wale wanaotumia mitandao ya kijamii vibaya kutuma picha za utupu na video zisizo na maadili.

Akizungumza na waandishi wa Habari mapema hii leo, Msemaji wa jeshi la polisi Tanzania (ACP) Barnabas mwakaluka amesema kuwa kutokana na wasanii wengi kukaidi agizo la kuacha kusambaza picha zisizofaa wameamua kuunda kitengo cha kusimamia na sheria zitaanza kufuatwa kwa wote watakaopatikana na hatia hiyo kwa kupelekwa mahakamani.

Safi sana maana ujinga umezidi, uhuru tunautumia vibaya
 
Hatuna dira ya kueleweka .... badala ya kushughulika na mambo ya maana wanashughulika na vitu visivyoongea?

Picha zisizokuwa za maadili sipo siku nyingi na zinatendelea kuwepo. Cha maana ni kuwafundisha vijana wetu madhara ya kuangalia picha hizo.

Badala ya kupiga marufuku kamali zilizojazana kila kona wanaangaika na picha?

Kamali ninazoziongelea ni hizi
3 mzuka
Jackpot bingo
kubeti
pool table
karata tatu n.k
Mkuu hao wanalipa kodi Hatuna shida nao
 
Jeshi la polisi Tanzania limeandaa kitengo maalumu kitakacho fanya 'doria' mtandaoni kufuatilia wasanii pamoja na wale wanaotumia mitandao ya kijamii vibaya kutuma picha za utupu na video zisizo na maadili.

Akizungumza na waandishi wa Habari mapema hii leo, Msemaji wa jeshi la polisi Tanzania (ACP) Barnabas mwakaluka amesema kuwa kutokana na wasanii wengi kukaidi agizo la kuacha kusambaza picha zisizofaa wameamua kuunda kitengo cha kusimamia na sheria zitaanza kufuatwa kwa wote watakaopatikana na hatia hiyo kwa kupelekwa mahakamani.
Karibuni sana tuchat mitandaoni
 
Back
Top Bottom