PostGE2025 Polisi Kilimanjaro yawaachilia huru vijana 300 waliokamatwa kwa kudaiwa kushiriki maandamano ya Oktoba 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limeeleza kuwa liliwashikilia vijana 300 kutoka maeneo mbalimbali mkoani humo kutokana na kudaiwa kushiriki vurugu zlizotokea siku ya uchaguzi mkuu Oktoba 29,2025.

Limesema kuwa baada ya kuwashikilia baadae liliwaachilia huru bila masharti yoyote, kutokana na kubaini kuwa hawakuwa na hatia kwani wengi wao walifika kwenye maeneo yaliyokuwa na vurugu, kutokana na maanadamano kwenda kushangaa tu kilichokuwa kikiendelea.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro SACP Simon Maigwa ameeleza hayo wakati akizungumza na Wanahabari Novemba 4, 2025 ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.
 
Natoa maelekezo wale vibaka wa Daslam waliochoma mali za watu na za umma wasiachiwe hata mmoja wafunguliwe kesi za ugaidi maana kuchoma vituo vya mafuta, polisi , mali na magari ya watu huo ni ugaidi.
 
Akizungumza na Waandishi wa Habari, jana Novemba 5, 2025, Kamanda Maigwa alifafanua kuwa hadi sasa watu 11 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuchochea 10 vurugu, ambapo 9 wanashikiliwa kwa kuchoma matairi na wengine wawili wanashikiliwa kwa kuhamasisha vurugu kupitia mitandao ya kijamii, huku wengine 300 waliokamatwa awali wakiwa wameachiwa huru baada ya kubainika hawakuwa na makosa yoyote.
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limeeleza kuwa liliwashikilia vijana 300 kutoka maeneo mbalimbali mkoani humo kutokana na kudaiwa kushiriki vurugu zlizotokea siku ya uchaguzi mkuu Oktoba 29,2025.

Limesema kuwa baada ya kuwashikilia baadae liliwaachilia huru bila masharti yoyote, kutokana na kubaini kuwa hawakuwa na hatia kwani wengi wao walifika kwenye maeneo yaliyokuwa na vurugu, kutokana na maanadamano kwenda kushangaa tu kilichokuwa kikiendelea.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro SACP Simon Maigwa ameeleza hayo wakati akizungumza na Wanahabari Novemba 4, 2025 ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.
Safi
 
Natoa maelekezo wale vibaka wa Daslam waliochoma mali za watu na za umma wasiachiwe hata mmoja wafunguliwe kesi za ugaidi maana kuchoma vituo vya mafuta, polisi , mali na magari ya watu huo ni ugaidi.
Wale wezi wa ripoti za CAG nao?
 
Back
Top Bottom