POLISI: Kilichookotwa Ubungo-Shekilango SIO BOMU

amakyasya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
3,480
Reaction score
918
Hatimaye jeshi la polisi limetoa ufafanuzi kuwa kilichookotwa ubungo shekilango si bomu ila kinafanana na bomu
Source itv, star tv habari.
 
That's good news. Madomokaya wangeanza kuchombeza kuwa no alshabab hao kutoka madrasa Fulani..
 
Sio kweli. Hilo ni bomu. Kuna mkono wa fedha hapo. Kama kinafanana na bomu kitu gani kinaendelea?Nchi hii imeanza kuingiliwa na Alshabab na Al qaeda. Rejea bomu la kanisani huko Morogoro. Kwa nini iwe makanisani tu na sio misikitini kwa tul nabii?Sina imani na polisi.
 
Huko mskanisani ndio mnako gombea waumini,ndio maana Luna vituko na vioja vingi
 
Pastor Achachanda acha kuongea kwa hisia,ongea kwa fact si kuhisi hisi,hata me nlkuwepo na nmeptia mafunzo ya jesh hakuna bomu la vile
 
Sio kweli. Hilo ni bomu. Kuna mkono wa fedha hapo. Kama kinafanana na bomu kitu gani kinaendelea?Nchi hii imeanza kuingiliwa na Alshabab na Al qaeda. Rejea bomu la kanisani huko Morogoro. Kwa nini iwe makanisani tu na sio misikitini kwa tul nabii?Sina imani na polisi.

Angalia bichwa kubwa akili ndogo mjinga kama wewe ni hasara kwa taifa umejaa na chuki za kipuuzi
 
Sio kweli. Hilo ni bomu. Kuna mkono wa fedha hapo. Kama kinafanana na bomu kitu gani kinaendelea?Nchi hii imeanza kuingiliwa na Alshabab na Al qaeda. Rejea bomu la kanisani huko Morogoro. Kwa nini iwe makanisani tu na sio misikitini kwa tul nabii?Sina imani na polisi.

Lini utarudi kwenu Burundi?
 
Lile ni bomu wala halipingiki,Nimeona hzo habari ch 10,star&itv but size ya picha likiwa ardhn na kale alikokamata kamanda wa police ni kadogo mno..!AKILI NDOGO INATAWARA AKILI KUBWA.
Aliyena wa kwanza ni kubwa km nanasi!akampigia cm mama yake naye akaja akakiri ni km nanasi!Wameojiwa ktk vituo tajwa hapo juu..?Kuna taarifa ya habari saa 5 if not mis taken KAANGALIENI SIZE YA PICHA LIKIWA ARDHINI NA LILE KM KIPANDE CHA CHUNGWA LA KAMANDA.
 
Sio kweli. Hilo ni bomu. Kuna mkono wa fedha hapo. Kama kinafanana na bomu kitu gani kinaendelea?Nchi hii imeanza kuingiliwa na Alshabab na Al qaeda. Rejea bomu la kanisani huko Morogoro. Kwa nini iwe makanisani tu na sio misikitini kwa tul nabii?Sina imani na polisi.
Mhe.Pastor Acha' Ondoa hofu na utulize kifua.. Punguza bugudhaa na chuki, nakuogopea usijekumbwa na presha ya damu au magonjwa ya ulcer just be calm and fair!! Siyo kila tishio linalenga imani za watu Fulani. Nakusikitikia wewe kuishi na hali ya wasiwasi pole sana. Endesha kazi yako kwa imani na uadilifu. ubarikiwe
 
Hilo ndio tatizo la watanzania, angekuwa mzungu ungemwamini. Hata lingekuwa bomu kweli bado ungesema limewekwa na Polisi. Kilichosemwa na Polisi ndio ukweli sema it is not in your favor.
Tuache kubishana hapa jamvini,Nenda kaangalie taarifa ya habar saa 5 usiku if not mis taken itv,Angalia size yake likiwa ardhini na lile la ofisin kamanda akiwa amekaa!!!La shekilango kubwa km nanasi lile la kamanda ni kipande cha chungwa..!
 
Lile ni bomu wala halipingiki,Nimeona hzo habari ch 10,star&itv but size ya picha likiwa ardhn na kale alikokamata kamanda wa police ni kadogo mno..!AKILI NDOGO INATAWARA AKILI KUBWA.
Aliyena wa kwanza ni kubwa km nanasi!akampigia cm mama yake naye akaja akakiri ni km nanasi!Wameojiwa ktk vituo tajwa hapo juu..?Kuna taarifa ya habari saa 5 if not mis taken KAANGALIENI SIZE YA PICHA LIKIWA ARDHINI NA LILE KM KIPANDE CHA CHUNGWA LA KAMANDA.

Uliliweka wewe hilo nanasi? Mbona una uhakika sana? Hayo mabomu litawekwaje ardhini wakati linatakiwa kurushwa baada ya kuondoa safety pin? Kama hujui kitu kaa kimya, it is not pressure release grenade, it is mechanically ignated grenade.
 
Lile ni bomu wala halipingiki,Nimeona hzo habari ch 10,star&itv but size ya picha likiwa ardhn na kale alikokamata kamanda wa police ni kadogo mno..!AKILI NDOGO INATAWARA AKILI KUBWA.
Aliyena wa kwanza ni kubwa km nanasi!akampigia cm mama yake naye akaja akakiri ni km nanasi!Wameojiwa ktk vituo tajwa hapo juu..?Kuna taarifa ya habari saa 5 if not mis taken KAANGALIENI SIZE YA PICHA LIKIWA ARDHINI NA LILE KM KIPANDE CHA CHUNGWA LA KAMANDA.

tumeshazoea kubadilishiwa sembe ikawa kitu kingine itakuwa bomu?
 
hamna bomu la mkono lenye ukubwa kama nanasi.
 
Lile ni bomu wala halipingiki,Nimeona hzo habari ch 10,star&itv but size ya picha likiwa ardhn na kale alikokamata kamanda wa police ni kadogo mno..!AKILI NDOGO INATAWARA AKILI KUBWA.
Aliyena wa kwanza ni kubwa km nanasi!akampigia cm mama yake naye akaja akakiri ni km nanasi!Wameojiwa ktk vituo tajwa hapo juu..?Kuna taarifa ya habari saa 5 if not mis taken KAANGALIENI SIZE YA PICHA LIKIWA ARDHINI NA LILE KM KIPANDE CHA CHUNGWA LA KAMANDA.

kweli mkuu hapa naona kama kuna kitu kimefichwa nimeangalia itv nikamuona rpc wa kinondoni anaonyesha kimfano tu tena ni kipande cha juu tu, wakati wanakiweka kwenye mfuko mbona kilikuwa kama kikubwa tena kimefunikwa pande zote!!!!au huko walikokwenda walikifungua????
 
tumeshazoea kubadilishiwa sembe ikawa kitu kingine itakuwa bomu?

Libadilishwe kwa faida gani? Siku moja maeneo ya Kurasini iliokotwa chupa imefanana na bomu la nanasi imeandikwa bomb. Ikachunguzwa kumbe ilikuwa perfume yenye brand ya bomb. Lakini ilileta taharuki kubwa jijini.
 
Back
Top Bottom