POLISI: Kifungo anachoweza kupata mwenye kosa la mapenzi ya jinsia moja

STUNTER

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
13,037
Likes
14,761
Points
280
STUNTER

STUNTER

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
13,037 14,761 280
Baada ya mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda kupiga marufuku mapenzi ya jinsia moja kumekuwa na taarifa za mitandaoni kwamba tayari jeshi la polisi kanda maalum Dar es salaam limeshaanza kuwakamata baadhi ya Watuhumiwa.

Kuthibitisha hilo, Kamanda wa Polisi, Kanda Maalum-Dar es salaam, Simon Sirro amenukuliwa akisema;

’'Hili kosa lipo muda mrefu, ukienda kwenye sheria za adhabu kwa nchi yetu kufanya mapenzi kinyume cha maumbile ni kosa la jinai na tumekuwa tukiwakamata watu ‘

‘'Kilichokuwa kinakosekana ni suala tu la taarifa lakini ukipatikana hukumu yake ni kubwa inategemea na hakimu, kama sikosei ni kuanzia miaka miaka mitano, sita mpaka saba jela, hili sio kosa la miezi miwili jela’ – Kamanda Simon Sirro.
 
K

KARANJA 007

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Messages
6,096
Likes
2,437
Points
280
K

KARANJA 007

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2015
6,096 2,437 280
Baada ya mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda kupiga marufuku mapenzi ya jinsia moja kumekuwa na taarifa za mitandaoni kwamba tayari jeshi la polisi kanda maalum Dar es salaam limeshaanza kuwakamata baadhi ya Watuhumiwa.

AyoTV imempata kamanda wa Polisi kanda maalum Dar es salaam Simon Sirro aliesema >>>
’Hili kosa lipo muda mrefu, ukienda kwenye sheria za adhabu kwa nchi yetu kufanya mapenzi kinyume cha maumbile ni kosa la jinai na tumekuwa tukiwakamata watu ‘ ‘Kilichokuwa kinakosekana ni suala tu la taarifa lakini ukipatikana hukumu yake ni kubwa inategemea na hakimu, kama sikosei ni kuanzia miaka miaka mitano, sita mpaka saba jela, hili sio kosa la miezi miwili jela’ – Kamanda Simon Sirro.
source; Millardayo.com
Duuuuuuuh,ngoja Obama na Cameron wasikie hii habari,yaani bakuli letu la sadaka litapigwa teke mpaka tule tusenti kidogo tuliomo tutaruka na kupotele mchangani.
 
NO04

NO04

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Messages
1,032
Likes
443
Points
180
NO04

NO04

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2015
1,032 443 180
hao adhab ni sindano ya sumu(sorry kama mmo humu)
 
M

mwakwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2007
Messages
706
Likes
181
Points
60
M

mwakwetu

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2007
706 181 60
Tatizo sio kuwakamata bali ni ushahidi
 
STUNTER

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
13,037
Likes
14,761
Points
280
STUNTER

STUNTER

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
13,037 14,761 280
Duuuuuuuh,ngoja Obama na Cameron wasikie hii habari,yaani bakuli letu la sadaka litapigwa teke mpaka tule tusenti kidogo tuliomo tutaruka na kupotele mchangani.
Hatari
 
Wong Fei

Wong Fei

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2016
Messages
3,757
Likes
4,141
Points
280
Wong Fei

Wong Fei

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2016
3,757 4,141 280
Safi sana, usisahai wanawake wanaojiuza na wale wafumua marinda ya jinsia ya ke.
Hawa mashoga, machangudoa na wateja wao adhabu iwe moja. Na wanaotoa mimba na kutupa watoto jalalan
 
Wong Fei

Wong Fei

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2016
Messages
3,757
Likes
4,141
Points
280
Wong Fei

Wong Fei

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2016
3,757 4,141 280
hao adhab ni sindano ya sumu(sorry kama mmo humu)
safi bila kusahau machangudoa. Na wale wapenda tigo za jinsia ya ke.
Na wateja pia hawa inabid wapigwe sindano ya sumu tu
 
K

KARANJA 007

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Messages
6,096
Likes
2,437
Points
280
K

KARANJA 007

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2015
6,096 2,437 280
Yaani hatari kama TINDIKALI,yaani tunawadhulumu wanawake MAUTAMU yao,ilihali wao na **** zao wanahitaji kupakuliwa kwa saaaaaana sababu kama hatujawaingilia basi watawashwa sana halafu watapata MFAZAIKO au vipi?
 
STUNTER

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
13,037
Likes
14,761
Points
280
STUNTER

STUNTER

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
13,037 14,761 280
Yaani hatari kama TINDIKALI,yaani tunawadhulumu wanawake MAUTAMU yao,ilihali wao na **** zao wanahitaji kupakuliwa kwa saaaaaana sababu kama hatujawaingilia basi watawashwa sana halafu watapata MFAZAIKO au vipi?
Hahahaha Sema Mademu wanaroho ngumu, anaeza akashikwa kikweli kweli lakini asitoe bila hela
 
STUNTER

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
13,037
Likes
14,761
Points
280
STUNTER

STUNTER

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
13,037 14,761 280
safi bila kusahau machangudoa. Na wale wapenda tigo za jinsia ya ke.
Na wateja pia hawa inabid wapigwe sindano ya sumu tu
Naona unatafuta vita kutoka kwa Jopo la wataalamu wa kuzibua vyoo
 
STUNTER

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
13,037
Likes
14,761
Points
280
STUNTER

STUNTER

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
13,037 14,761 280
Safi sana, usisahai wanawake wanaojiuza na wale wafumua marinda ya jinsia ya ke.
Hawa mashoga, machangudoa na wateja wao adhabu iwe moja. Na wanaotoa mimba na kutupa watoto jalalan
Sidhani kama kunaatakae kusapoti, nahisi hata wanawake hawatokubaliana nawewe
 
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
45,372
Likes
31,585
Points
280
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
45,372 31,585 280
Makonda kuanzisha vita na hao watu wakati bajeti yako ni tegemezi kuna kitu mnakitafuta
 
Konda wa bodaboda

Konda wa bodaboda

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Messages
8,065
Likes
3,207
Points
280
Konda wa bodaboda

Konda wa bodaboda

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2014
8,065 3,207 280
Kauli ya polisi imekaa kihakimu zaidi.
 
Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Messages
6,320
Likes
1,990
Points
280
Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2011
6,320 1,990 280
Baada ya mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda kupiga marufuku mapenzi ya jinsia moja kumekuwa na taarifa za mitandaoni kwamba tayari jeshi la polisi kanda maalum Dar es salaam limeshaanza kuwakamata baadhi ya Watuhumiwa.

AyoTV imempata kamanda wa Polisi kanda maalum Dar es salaam Simon Sirro aliesema >>>
’Hili kosa lipo muda mrefu, ukienda kwenye sheria za adhabu kwa nchi yetu kufanya mapenzi kinyume cha maumbile ni kosa la jinai na tumekuwa tukiwakamata watu ‘ ‘Kilichokuwa kinakosekana ni suala tu la taarifa lakini ukipatikana hukumu yake ni kubwa inategemea na hakimu, kama sikosei ni kuanzia miaka miaka mitano, sita mpaka saba jela, hili sio kosa la miezi miwili jela’ – Kamanda Simon Sirro.
source; Millardayo.com

Martin Kadinda kakamatwa bado au yupo tu mitaani tuanze kumsaka?
 
Mr Hero

Mr Hero

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2015
Messages
5,565
Likes
6,885
Points
280
Mr Hero

Mr Hero

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2015
5,565 6,885 280
Hivi wakimfunga anawekwa selo maalum au atachanganywa na vidume?
 
ELI-91

ELI-91

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2014
Messages
2,067
Likes
4,688
Points
280
ELI-91

ELI-91

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2014
2,067 4,688 280
Sio kila anaeshiriki mapenzi ya jinsia moja anaingiliwa kinyume na maumbile, watu wengi wanachanganya hilo. kwa mfano wnawake wasagaji hawaingiliani kinyume na maumbile (anal penetration).

Ile sheria anayoiongelea kamanda Sirro ni ya kosa la kuingiliana kinyume na maumbile bila kujali kama mna jinsia tofauti (mwanaume na mwanamke) au jinsia moja (wote wanaume).

Kwa hiyo kwa sheria iliyopo wala haisemi ushoga / useng* ni nini, pia haizungumzii usagaji. Makonda na Sirro wanafurahisha genge tu, sheria iliyopo haijitoshelezi.

N.B pia kwamujibu wa hiyo sheria (iliyopo sasa hivi) huruhusiwi kula tig* hata kama ni mkeo. akikushtaki unekwisha....hivyo chote chote bandugu.
 
Wong Fei

Wong Fei

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2016
Messages
3,757
Likes
4,141
Points
280
Wong Fei

Wong Fei

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2016
3,757 4,141 280
Sidhani kama kunaatakae kusapoti, nahisi hata wanawake hawatokubaliana nawewe
Kama hawajawazuia hao wanawake wanaojiuza na wateja hao kuutokomeza ushoga ni ngumu mkuu. Sababu wengi wa wateja wao ndio hao hao wateja wa mashoga.

Km mtu anajitoa ufahamu anatembea na mwanamke anayejiuza tena hatumii condom na tigo anakula hatashindwaje kumla shoga?

Mm nafikiri njia rahic ya kutokomeza ushoga, kuwazuia wanawake wanaojiuza, pamoja na wateja wao.

Na sheria kali iweke kwa mtu anayetembea na shoga na shoga mwenyew. Kama adhabu shoga apigwe na mteja wa shoga apigwe adhabu kali sana. Unafikir ikifanywa hiv kuna mtu atathubutu kutembea na shoga?

Kitu kingine elimu itolewe kwa watu
Halafu kitu kingine
 
Forum statistics

Threads 1,235,534
Members 474,641
Posts 29,225,844