Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,753
- 16,743
Na wewe ni police mwenzao maana mnajuanaWewe ni polisi?, naona umeripoti kipolisi, RIP, poleni majeruhi
Na wewe ni police mwenzao maana mnajuanaWewe ni polisi?, naona umeripoti kipolisi, RIP, poleni majeruhi
Mkuu fuso zinakimbia sanaa na ukute dereva kavuta cha arusha ndo balaa zaidi
PoleJaman mmoja wa majeruhi wa ajar hyo n ndg yangu kwakwel ameumia vby sn kichwan nlikuta yupo mapokez hospital ya mkoa iringa kwakwel kaumia vby sana TUMUOMBEE
Mwenyenzi Mungu atamponyaJaman mmoja wa majeruhi wa ajar hyo n ndg yangu kwakwel ameumia vby sn kichwan nlikuta yupo mapokez hospital ya mkoa iringa kwakwel kaumia vby sana TUMUOMBEE
Hiyo scenario ndo naogopa kuliko zote barabarani.Mnamo tarehe 25..06.2019 majira ya 05:45hrs maeneo ya Izazi kata ya Izazi tarafa ya Ismani wilaya ya Iringa na mkoa wa Iringa katika barabara kuu ya Iringa-Dodoma.
Gari lenye namba za usajili STL 3807 aina ya toyota hilux mali ya TARURA ikiendeshwa na Lodrick s/o Richard@Ulio, miaka 35, kabila mchaga na mkazi wa DSM likitokea Iringa kuelekea Dodoma liligongana uso kwa uso na gari lenye namba za usajili T 146 BAZ aina ya mitsubish fuso mali ya Wilson S/o Msenga wa Iringa likiendeshwa na Amos s/o ??? Wa Iringa likitokea Dodoma kuelekea Iringa.
Madhara
VIFO
1.Lodrick s/o Richard@Ulio-dereva wa TARURA
2.Joyce d/o Enezar@Mlay, miaka 45, kabila mchaga mkazi wa Moshi.
MAJERUHI
1.Ernest s/o Mgeni, miaka 49, kabila mkinga na mkazi Mbozi
2.Gervas s/o Myovela, miaka44, kabila mhehe mkazi wa Mbozi
3.Jamadin s/ Mikata, miaka 32 ,kabila mngoni na mkazi wa Mbozi
Wote walikuwa kwenye gari la TARURA na wamehamishiwa hospitali ya rufaa Iringa kwa matibabu.
Aidha, miili ya marehemu imekabidhiwa kwa meneja wa TARURA manispaa Iringa na kupekekwa Dodoma tayari kwa utaratibu wa mazishi.
Chanzo cha ajali ni uzembe wa dereva wa fuso kushindwa kulimudu gari lake na kusababisha kuhama upande mmoja na kugongana uso kwa uso ambaye amekimbia mara baada ya ajali hiyo na anatafutwa.
WITO
Madereva wawe makini wanapotumia barabara wasijione wako peke yao bali waheshimu sheria na watumiaji wengine wa barabara.
RODERICK badala ya Lodrick.Mnamo tarehe 25..06.2019 majira ya 05:45hrs maeneo ya Izazi kata ya Izazi tarafa ya Ismani wilaya ya Iringa na mkoa wa Iringa katika barabara kuu ya Iringa-Dodoma.
Gari lenye namba za usajili STL 3807 aina ya toyota hilux mali ya TARURA ikiendeshwa na Lodrick s/o Richard@Ulio, miaka 35, kabila mchaga na mkazi wa DSM likitokea Iringa kuelekea Dodoma liligongana uso kwa uso na gari lenye namba za usajili T 146 BAZ aina ya mitsubish fuso mali ya Wilson S/o Msenga wa Iringa likiendeshwa na Amos s/o ??? Wa Iringa likitokea Dodoma kuelekea Iringa.
Madhara
VIFO
1.Lodrick s/o Richard@Ulio-dereva wa TARURA
2.Joyce d/o Enezar@Mlay, miaka 45, kabila mchaga mkazi wa Moshi.
MAJERUHI
1.Ernest s/o Mgeni, miaka 49, kabila mkinga na mkazi Mbozi
2.Gervas s/o Myovela, miaka44, kabila mhehe mkazi wa Mbozi
3.Jamadin s/ Mikata, miaka 32 ,kabila mngoni na mkazi wa Mbozi
Wote walikuwa kwenye gari la TARURA na wamehamishiwa hospitali ya rufaa Iringa kwa matibabu.
Aidha, miili ya marehemu imekabidhiwa kwa meneja wa TARURA manispaa Iringa na kupekekwa Dodoma tayari kwa utaratibu wa mazishi.
Chanzo cha ajali ni uzembe wa dereva wa fuso kushindwa kulimudu gari lake na kusababisha kuhama upande mmoja na kugongana uso kwa uso ambaye amekimbia mara baada ya ajali hiyo na anatafutwa.
WITO
Madereva wawe makini wanapotumia barabara wasijione wako peke yao bali waheshimu sheria na watumiaji wengine wa barabara.
kwa hiyo wewe unaamini kwa muda huo hao polisi waliweza kufanya home work yao na kuwapata next of kins wa wafiwa wote na kuwapa taarifa kabla ya polisi kuitisha press?matokeo ya kuishi in a pithole country ndio haya hata middle class citizens hawana uwezo wa kutambua kuwa hili ni kosa,kwa mfumo tuliokuwa nao (nchi imekuwa kama choo hatutambuani)ni ngumu mno kupata taarifa kama hizi kwa muda mfupi kam,a huo.Unaelewa maana ya 05:45 hours? Na tofauti yake na 17:00hours?
kwa hiyo wewe unaamini kwa muda huo hao polisi waliweza kufanya home work yao na kuwapata next of kins wa wafiwa wote na kuwapa taarifa kabla ya polisi kuitisha press?matokeo ya kuishi in a pithole country ndio haya hata middle class citizens hawana uwezo wa kutambua kuwa hili ni kosa,kwa mfumo tuliokuwa nao (nchi imekuwa kama choo hatutambuani)ni ngumu mno kupata taarifa kama hizi kwa muda mfupi kam,a huo.
Kapicha hako
Halafu msala anapewa dereva wa FusoSTL,STK,DFP,SU.hizi gari huwa spidi sana,zinaua sana watumishi.sizipendi kabisa