Polisi Ilemela kamata hao wauaji

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Posts
27,962
Reaction score
35,215
Kamata huyu mama akishirikiana na wenzie.

Juzi 10/5/2018 mama alipewa dawa na majirani eti ampe kijana wake ambaye ni mlevi kupindukia kwamba ni dawa ya kumfanya aache kunywa pombe. Masharti ya dawa ilikuwa kijana anywe gongo alewe sana halafu ndio wampe hiyo dawa. Walifanya hivyo. Walivyomaliza tu kumpa hiyo dawa Jonas akakata roho. Jonas anazikwa leo hii 12/5/2018

Familia imeazimia jambo hilo liwe siri kubwa.

Msiba uko karibu na nyumba za polisi za Kigoto.

Kamata wajinga hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…