Polisi: Hakuna ukweli wa Kontena la Silaha kuingia nchini

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Msemaji wa jeshi la polisi nchini Tanzania David Misime amekanusha kuwepo kwa kontena la silaha na kusema kuwa ni taarifa za uongo. ameyasema hayo wakati wa Mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Dodoma, na kusisitiza kwamba hakuna ukweli juu ya taarifa hizo

Misime ameonya pia juu ya baadhi ya watu ambao wamekuwa wakitumia vibaya mitando ya kijamii.

Ufafanuzi wa Jeshi la Polisi unafuatia siku kadhaa za taarifa katika mitandao mbalimbali ya kijamii, kuhusu kukutwa kwa Kontena lenye silaha.

Kauli za police sio credible, kwa sababu hawa police wetu huwa wanakanusha hata vitu ambavyo vimetokea mchana kweupe na kila mtu akaona!
 
Msemaji wa jeshi la polisi nchini Tanzania David Misime amekanusha kuwepo kwa kontena la silaha na kusema kuwa ni taarifa za uongo. ameyasema hayo wakati wa Mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Dodoma, na kusisitiza kwamba hakuna ukweli juu ya taarifa hizo

Misime ameonya pia juu ya baadhi ya watu ambao wamekuwa wakitumia vibaya mitando ya kijamii.

Ufafanuzi wa Jeshi la Polisi unafuatia siku kadhaa za taarifa katika mitandao mbalimbali ya kijamii, kuhusu kukutwa kwa Kontena lenye silaha.

Achana na hilo Jeshi. They are not informed. Ni jeshi hili hili ndio lilituambia kuwa mwenye Ushahidi kuwa Lissu alipigwa risasi alete
Ni jeshi hili hili lilituambia waliompiga kitiAma watakqmatwa. Moja ya jeshi ambalo you should never trust their words ni
Hilo

Alikibao aliuliwa na wakasema watafuatilia, wanayo majibu hadi sasa
?
 
Lisu hawajui alipigwa risasi na nani
Ben sanane hawajui yupo wapi?
Anzory Gwanda hawajui yupo wapi?
Mo hawajui alitekwa na nani?
Sasa hawa tuta wAAMINI Kwa lipi?
Labda taarifa za ki INTELIGENSIA ZA MAANDAMANO NDIZO WANAZIJUA TU?
Hata Mdude walishindwa kufahamu alitekwa na nani..
Mzee Kibao pia..
 
Msemaji wa jeshi la polisi nchini Tanzania David Misime amekanusha kuwepo kwa kontena la silaha na kusema kuwa ni taarifa za uongo. ameyasema hayo wakati wa Mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Dodoma, na kusisitiza kwamba hakuna ukweli juu ya taarifa hizo

Misime ameonya pia juu ya baadhi ya watu ambao wamekuwa wakitumia vibaya mitando ya kijamii.

Ufafanuzi wa Jeshi la Polisi unafuatia siku kadhaa za taarifa katika mitandao mbalimbali ya kijamii, kuhusu kukutwa kwa Kontena lenye silaha.

kwani utasema lilikuwepo? kma mliweza kukana na kuwatendea watanganyika wenzenu hivi, hamuwezi kuaminika
 
Attachments

  • POLISI.mp4
    33.1 MB
Achana na hilo Jeshi. They are not informed. Ni jeshi hili hili ndio lilituambia kuwa mwenye Ushahidi kuwa Lissu alipigwa risasi alete
Ni jeshi hili hili lilituambia waliompiga kitiAma watakqmatwa. Moja ya jeshi ambalo you should never trust their words ni
Hilo

Alikibao aliuliwa na wakasema watafuatilia, wanayo majibu hadi sasa
?
Sio kwamba hawajui. Wanafuata maelekezo haramu kutoka juu. They’re professionally compromised!
 
Ni baada ya Mange kuandika mazito huko Instagram na kupata comments nyingi za kumuunga mkono.

JWTZ nao bila shaka wanamsoma.

Bahati mbaya Jeshi la Polisi haliaminiki tena.
 
Back
Top Bottom