mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,511
na huwa nasema,mambo mengi tz au africa hayaendi sababu ya unafiki.watu mmeamua kukinukisj
hakuna rushwa pasipo mtoaji, nasheria zipo wazi atoae au amshawishie mtu kupokea kushwa nae anakosa kwani hao wanoatoa rushwa huwa wananyang'anywa hela mfukoni mbona ka watu wanapiga kelele ilahali wenyewe ndo wanawaomba askari wasiwaandikie makosa ama wanatoa hela ili wasikaguliwe vilivyoo, watu waache unafiki bana kilasiku tunaona wafanyayo maderevaaa hasa wa daladala na gari nyingine binafsi
unafiki unatukwamisha sana.hatuko real.
