Polisi (DCP) Dkt. Lazaro Mambosasa : Baadhi ya Polisi Wetu Hukengeuka, Na Tunawaachisha Kazi Kwa Fedhea

Polisi (DCP) Dkt. Lazaro Mambosasa : Baadhi ya Polisi Wetu Hukengeuka, Na Tunawaachisha Kazi Kwa Fedhea

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
29,869
Reaction score
34,025
11 February 2026

Dr. Mambosasa afunguka kuhusu askari wanaokengeuka

View: https://m.youtube.com/watch?v=lUsH2nk4zVQ
Aullizwa kwanini raia wanakimbia wakiona Defender ya Polisi ?

DCP Mambosasa anasema Polisi wetu wanauwezo wa kugundua wahalifu, hatuendi mahali pasipo na uhalifu, ndiyo maana wahalifu hutimua mbio wakiona defender ya polisi

DCP Mambosasa askari wetu wanapikwa vilivyo chuoni na kupata weledi wa hali ya juu ktk kutekeleza majukumu yao wanayoagizwa na wakuu wao..

January 2026
Polisi (DCP) Dkt. Lazaro Mambosasa, Mkuu wa Chuo Cha Taaluma cha Polisi DPA amefungua rasmi Mafunzo mengine kwa cohorts ( makundi) mbalimbali ya maafisa wa polisi lakini mafunzo hayo hayajaleta mabadiliko kwa tabia, mienendo na utendaji waa kufuata kanuni za polisi, sheria na katiba.

TOKA MAKTABA
2023 September 26
SACP Lazaro Mambosasa mkuu wa chuo cha taaluma ya polisi Dar es Salaam DPA

View: https://m.youtube.com/watch?v=maDp0_ph4nw
Chuo cha Taaluma ya Polisi (DPA) · Jeshi la Polisi laingia makubaliano na TIA katika tafiti na mafunzo. · Academic Programs offered at DPA..
 
KITI MOTO
Wachunguzi wa jeshi la FBI wapata kibano, kwa baadhi yao kuwa na tabia za fedhea kutengenezea watu kesi

View: https://m.youtube.com/watch?v=EEd5cvHnhPQ
TIMECODES
  • 00:00 Intro
  • 00:47 Claim #1: Undercover sting operations often manufacture crime
  • 18:09 Claim #2: Law enforcement believes it’s okay to violate the law in order to arrest the lawbreakers
  • 39:09 Claim #3: Law enforcement often measures success by arrests and not by safer streets
  • 01:02:33 Claim #4: Paid informants are rarely reliable
  • 01:17:04 Heather’s Claim: The mafia culture promotes men to be successful only through fear and intimidation
 
11 February 2026

Dr. Mambosasa afunguka kuhusu askari wanaokengeuka

View: https://m.youtube.com/watch?v=lUsH2nk4zVQ
Aullizwa kwanini raia wanakimbia wakiona Defender ya Polisi ?

DCP Mambosasa anasema Polisi wetu wanauwezo wa kugundua wahalifu, hatuendi mahali pasipo na uhalifu, ndiyo maana wahalifu hutimua mbio wakiona defender ya polisi

DCP Mambosasa askari wetu wanapikwa vilivyo chuoni na kupata weledi wa hali ya juu ktk kutekeleza majukumu yao wanayoagizwa na wakuu wao..

As they say, “Zilongwa mbali zitendwa mbali”!
 
View: https://m.youtube.com/watch?v=FX1B3ldNG0Y
Jubilee iliniweka kitimoto katikati ya polisi 20 na wakala mmoja wa FBI kwa mfululizo wao wa "Waliozunguka" na wengi wenu mmekuwa mkijiuliza nilifikiria nini hasa kuihusu. Katika video hii ninaeleza jinsi ilivyokwenda, kile ambacho hamkuona, na jinsi ninavyohisi kuhusu baadhi ya majibu yaliyonijia. Tunapitia maswali makubwa zaidi kutoka kwa kipindi hicho: mawakala wa siri na watoa taarifa waliolipwa, wakati operesheni ya kuchomwa inaponaswa, kama FBI na DOJ "hufuata sheria" kila wakati, na kwa nini nilikataa vikali wakati wakala alisema hajawahi kuona makosa katika miaka 23. Pia ninazungumzia kuhusu uwajibikaji, jinsi zana za utekelezaji wa sheria zinavyotumika kwa maadui wa kisiasa, na kwa nini bado naamini tunahitaji polisi wazuri na mawakala wazuri ingawa nitasema mbinu ambazo nadhani si sahihi. Tazama kipindi cha Jubilee, kisha tazama muhtasari huu, na unijulishe kwenye maoni ikiwa unafikiri nilijizuia dhidi ya 20. Mwitikio wa Jubilee: Je, Nilikiponda au Nilivuta Sigara? (Bosi 1 wa Zamani wa Mafia dhidi ya Polisi 20) Tazama Kipindi Kamili cha Jubilee Surrounded Hapa:
 
Back
Top Bottom