Polisi Dar wakusanya milioni 440 za makosa ya barabarani kwa siku tano

Kusanyeni tu polisi mdereva wengine wazembe sana barabaran.hawazingatii sheria
Kufuata sheria bila shuruti ni kama ugonjwa kwetu, najuwa kuna kesi za kubambikiwa, ila ni chache sana, tufuate sheria, period
 
Ndo moja ya mapato tunayojivunia kuwa tutanunulia train ya umeme, na ugunduzi mpya wa chanzo kikubwa cha pato la ndani ni michango ya rambi rambi ambazo siku hizi zinaitwa ramba ramba.....TUTAELEWANA TU
 
Na serikali ishatujuwa hatupendi kufuata sheria bila shuruti, basi wanagonga pale pale, utafikiri kama tutabadilika! Ng'oo...
 
Kikosi cha Usalama Barabarani Kanda Maalum Dar es salaam kimekusanya Tsh. 440,000,000 za makosa ya Barabarani kuanzia May 16 hadi 21, 2017.

  • Wakikomaa hao jamaa wa DAR hata Bilioni Moja kwa wiki inawezekana, maana makosa ya barabarani bado ni mengi
  • Huku kwetu mikoani mambo ndio hovyo kabisa, trafic na sumatra wa huku kwetu wapo wapo tu
 
Back
Top Bottom