wababayangu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 813
- 1,107
Mkuu vijana wa chadema wamefundishwa kupinga kila kitu. Hivyo wala usiwashangaeHuelewi kazi ya bunduki ya polisi kwenye maafa?
Njoo Dar upinduke na gari au daladala ipinduke vibaka hawahangaiki kuokoa majeruhi Wala kubeba maiti ni kupora tu na ku search mifukoni Hadi maiti kuchukua pochi Simu Hadi viatu ,nguo na chupi watauza kama mitumba.waweza Kuta daladala abiria wote wako uchi wa mnyama kuanzia walio wazima,majeruhi Hadi maiti polisi wakichelewa kuwahi na bunduki zao
Kama ni nyumba mfano imevamiwa na maji au moto vibaka watawahi kubeba Hadi magodoro ,Vitanda ,TV,makochi nk hata yawe yamejaa maji na kutokomea kusikojulikana
Wewe mleta mada ni kibaka mia Kwa mia ulitaka askari wasije na bunduki upore jambazi wewe
Askari wamekudhibiti
Haya majamaa ni yale yaliyozaliwa kwenye familia za kishenzi. Ustaarabu ni sifuri kabisa na bongo zao ni kama za punda. Tatizo kubwa la Tanzania ni kuwa likitokea janga kama hili viongozi hawaendi kusaidia chochote zaidi ya kujionyesha ili waonekane. Na hizo bunduki ni za kuwalinda kwani unajua tena watawala wetu popope walipo wanajiona kama hawapo salama.Acha uongo wewe ,kwanza mmesubiri maji yamepoa ndio mkafika eneo la tukio na mavitambi vyenu!
Nendeni shule wengi wenu hamna vyeti ,sehemu ya kutumia akili mnatumia maguvu! Panya road wamewashinda mtaweza maji yenye matope!
Nipo hapa madongo kuinama!
Kiwango chako cha juu kabisa cha elimu tafadhaliUna umri gani hujui kazi ya polisi?? Polisi sio jeshi la uokoaji.. ni jeshi la kulinda usalama wa raia na mali zake.. uokoaji kama watafanya ni ziada.. hizo silaha ni vitendea kazi vyao kwa jukumu lao mama..
kuna siku utakuja kuelewa.Nilidhan vikosi vikazanie UOKOZI na kuwajengea makazi waathirika. Badala yake Ni mwendo wa kupiga picha na kuzunguka na Mabunduki.
NB:
Mmepanga kuua majeruhi Kwa hizo Bunduki?
Mali na uhai kipi muhimu? Au wanalinda tope na magome ya miti?kuna siku utakuja kuelewa.
haya vibaka huwa wanachukia sana polisi mpaka siku wapiga kura wakiwaweka kati,hutamani hata polisi mmoja apite.
wakati wa majanga vibaka na watu wenye nia ovu hutumia pia mwanya huo kujinufaisha,siku pinduka na gari au anguka kwenye piki piki,kuna watu watakusachi mpaka mifukoni.hapo tope linatembea na mapaa ya nyumba,kuna mtu anatafakari ataondokaje na cable ya umeme ya tanesco akauze kopa?
Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
MasikitikoMali na uhai kipi muhimu? Au wanalinda tope na magome ya miti?
Wameenda kuwatungua marehemuu watakaojitokeza kwenye matopeNilidhan vikosi vikazanie UOKOZI na kuwajengea makazi waathirika. Badala yake Ni mwendo wa kupiga picha na kuzunguka na Mabunduki.
NB:
Mmepanga kuua majeruhi Kwa hizo Bunduki?
Ukisikia wanao wanapiga kelele chumbani kwao utakwenda umejifunga taulo?SWALI: Bunduki za nini?
hizi disasters zinapelekea panic, jamii nzima inakuwa kwenye taharuki. Ikifikia point hiyo lolote linaweza kutokea na kusababisha uvunjifu wa amani.
kwani aliyewapiga picha alikuaa anafanya shudhuli gani eneo hilo?Mali na uhai kipi muhimu? Au wanalinda tope na magome ya miti?
Hata Gaza Kuna amani ila usalama haupo...Amani ipo wapi?
Hata Gaza Kuna amani ila usalama haupo...
Jamaa wanapambana sana aisee hakuna vifaa wanajitahidi hivyo hivyo hapo ilitakiwa iwepo chain na afungwe kweli akifanya hiyo shughuli Nchi yetu ngumu sana kwenye maswala muhimu..Mungu awasaidie wafanikishe kwa mazingira tuliyonayo..