Polisi, bunduki Hanang ni za nini?

Nilidhan vikosi vikazanie UOKOZI na kuwajengea makazi waathirika. Badala yake Ni mwendo wa kupiga picha na kuzunguka na Mabunduki.

NB:
Mmepanga kuua majeruhi Kwa hizo Bunduki?
Wahisani yaani MAREKANI na uingereza wanataka picha ndio walete msaada.

Usifikiri kuna zaidi ya hapo.
Ila mama hatakuwa mkatili kama jiwe ule msaada wa bukoba akaupiga wote, huu wa mbulu natumai utawafikia.
 
Nilidhan vikosi vikazanie UOKOZI na kuwajengea makazi waathirika. Badala yake Ni mwendo wa kupiga picha na kuzunguka na Mabunduki.

NB:
Mmepanga kuua majeruhi Kwa hizo Bunduki?
Hao ni ulinzi wa raia na mali zao we toto wa malay@

Hawahusiki na uokozi, hawabebi mipira ya maji kwani wao sio zimamoto na uokoaji, vitendea kazi vya Police ni pamoja na bunduki, ulitaka wabebe ndoo za kuzolea tope?
 
...mbona unatukana? mtoa mada amesema ninyi police mliokwenda pale na bunduki ni watoto wa Malay?
 
Acha basi kutetea upuuzi.
Ukweli ni kwamba ndugu zetu wanapenda kutumia nguvu sana hata sehemu ambako inahitaji matumizi ya akili kidogo.

Kwani hawawezi kujigawa wengine ulinzi halafu wengine kuokoa na hao walinzi wakatumika kulinda zone kuliko kushangaa ndani ya eneo la kazi?
 
Huna tofauti na utumbo wa bata wewe. Inaonekana wewe umezaliwa ushenzini huko swekeni ambako hakuna ustaarabu kabisa na muda wote mnapelekeshwa wa viboko.
 
Nilidhan vikosi vikazanie UOKOZI na kuwajengea makazi waathirika. Badala yake Ni mwendo wa kupiga picha na kuzunguka na Mabunduki.

NB:
Mmepanga kuua majeruhi Kwa hizo Bunduki?
Uelewa wako uko chini sana mkuu. Au vinginevyo umeamua tu uonekane na wewe umeanzisha habari.

Uaskari ni bunduki. Askari bila bunduki ni Sawa sawa na wewe tu. Hivyo kuonekana askati ana bunduki ni kawaida sana.
 
Nilidhan vikosi vikazanie UOKOZI na kuwajengea makazi waathirika. Badala yake Ni mwendo wa kupiga picha na kuzunguka na Mabunduki.

NB:
Mmepanga kuua majeruhi Kwa hizo Bunduki?
Una umri gani hujui kazi ya polisi?? Polisi sio jeshi la uokoaji.. ni jeshi la kulinda usalama wa raia na mali zake.. uokoaji kama watafanya ni ziada.. hizo silaha ni vitendea kazi vyao kwa jukumu lao mama..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…