Polisi anapo-lala Kazini, ni hatari kweli kweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi anapo-lala Kazini, ni hatari kweli kweli

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Oct 18, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  dah kweli hatari unalala halafu mguu wa kuku wa maana unauacha hivyo duh hatare.
   
 3. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Huyo kalewa AMANI NA UTULIVU,, sehemu panapokosekana ULEVI huo hukutu hali kama hiyo.
   
 4. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Huyu nikimkuta hivyo, Namvua mbavu na nyota zote.
   
 5. Bwana Mapesa

  Bwana Mapesa JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,926
  Likes Received: 661
  Trophy Points: 280
  mi nakataa,huyu alijipanga ili apigwe picha...lakin hakuna mwenye pistol ambaye anakaa kiboya kama huyu..mliokuwa nazo mtakubaliana na mimi
   
Loading...