Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Katika pita pita nimekutana na hii video ikimuonyesha askari Polisi kijana kabisa akipokea rushwa kutoka kwa dereva wa gari ndogo. Pamoja na hali ilivyosasa lakini mambo bado hayajabadilika. Namshauri Mh. Magu aondoe mifuko kwenye sare zao labda kidogo tutapunguza hili tatizo.
========
UPDATES
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Jumanne Muliro amesema Jeshi hilo limemchukulia hatua za kinidhamu Askari Polisi aliyeonekana katika picha ya video akichukua rushwa