Polisi ajipiga Risasi sasa hivi

sasa amepelekwa hospitali kufanya nini, wakati kapenda mwenyewe kutimiza lengo lake? weka pembeni, watibiwe wengine wenye kusumbuliwa na maradhi na ajali za kudra yake Mola!
 
Hatuna kazi nao, Wafe tu ! Ma askari wenyewe wamejaa rushwa tupu , Yaani utafikiri hayana mshahara , Kuna trafiki mmoja Arusha anaitwa Riziki anapenda sana rushwa kuliko kazi, RTO tunakuomba umchunguze!

Ni kweli kabisa ,kuna jamaa askari nilisoma naye secondary,alinichangia harusi yangu hizo hela alizotoa ni aibu tupu;yaani laki 2 ilikuwa mia 5 tupu zingine zina mkaa zingine zina damu ya buchani basi ili mradi tu!
I
 

Acha siasa bunduki ina safety lock bhana
 
Atakuwa sio mchaga huyo, wachaga huwa hawarembi..
 
Kirusi cha uonevu kwa raia huru&wema taratiibu kimeanza kuwanyemelea! Na walaaniwe kwa kukosa kwao uzalendo kwa TAIFA na raia wake + kuendeleza/tekeleza sera ya liwalo na liwe+wapigwe tu"!

unaweza kutuambia uzalendo wako kwa taifa hili n upi? Au kubwabwaja tu
 
salary sliiiiiiiiiiiiiiiip! hahahhhhhhhaaaaaaaaaaaa!
unanikumbusha tarehe ya watoto kufungua shule!
 
huyo jamaa ni mzalendo...kaamua kujitimizia kauli ya Mh.Pinda mwenyewe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…