Polisi, aibu hii mpaka lini? Mkenya wa Dk. Ulimboka afichua mapya kortini Dar

"Kaniambia mimi ni Mkristo, ananituma kwa Mkristo mwenzangu, alinipa taarifa ambazo zimesomwa hapa mahakamani na Wakili wa Serikali, nilienda kanisani kutokana na vitisho, yule alikuwa mtu wao ningesema vinginevyo angewaambia ikabidi nimpe taarifa mchungaji kama nilivyoambiwa niseme".

hivi katika hii paragraph huyo Mkenya alimaanisha mch. Gwajima ni mtu wao polisi?
 
duuh! ndg zangu kweli hatuna usalama wala police labda jeshi pekee. halafu tunasema tuna rais hapa? km kweli tunaye rais basi kupitia aibu hii nahitaji kusikid amewafuta kazi kova na policcm wake waliofanya ujinga huu.
 
Mambo haya yanazidi kuwavua nguo mbele ya jamii!! Nashukuru kuwa kule Arusha katka kesi ya Lema wametafakari wenyewe wakaona noma! Mambo mengine ni kujidhalilisha! Wakaondoa kesi wenyewe!
 
Naomba sana kabla Mungu hajanichukua nijue nini maana ya neno BONGO!
 
Tukisema haya maneno aliyoyasema wakati wa hukumu ndiyo ameambiwa akaongee hivyo tutakuwa tunakosea?

Mara nyingi Mtu Mjinga na Mpu-mbavu ushabikia mambo ya Kijinga na ya Kipu-mbavu, hivi kutekwa kwa Dr. Ulimboka wewe ulinufaika na nini hadi uweze kuandika hiki ulichokiandika?
 
Amekutwa na hatia ya kulidanganya jeshi la polisi sio kwa kumteka dr. Kesi ya dr mbona aliachiwa kitambo!!!
mimi kinachonishangaza ni hukumu,yaani kama ilikutwa na hatia maana yake ndiye aliyemfanyia Ulimboka alivyofanyiwa,nashangaa hadhabu yeke hiwe miezi sita
 
Mara nyingi Mtu Mjinga na Mpu-mbavu ushabikia mambo ya Kijinga na ya Kipu-mbavu, hivi kutekwa kwa Dr. Ulimboka wewe ulinufaika na nini hadi uweze kuandika hiki ulichokiandika?

wewe ni ya haya matusi uliyoandika hapa ie ukizidisha mara tatu ndio sifa zako. Sio ajabu kwa maana hiyo ukawa zeze..t.a
 
Huo ni ukweli sio tusi.... Kama hujui maana ya makengeza uliza uambiwe!

Tusi halikai mwilini wala kwenye paji la uso. Tusi ni sifa chafu aliyonayo au atunukiwayo mtu. Ni vile kengeza halijawekwa kwenye kundi lipi kati ya haya yaani ULEMAVU au KASORO ZA KIMAUMBILE.
 
aisee!.... Kova atayaweka wapi yale makengeza yake!..... Nawachukia sana polisi wa tanzania!

Jamani sasa hii tena ndo nini ya kutukanana? Muumba ni mungu na hakuna anayejiumba. Wewe kama huna kasoro wajuwa ya kesho? Hujui waweza kupata kilema kikubwa zaidi ya hicho. Omba msamaha kwa mungu.
 
Back
Top Bottom