NIMITZ
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 323
- 487
Yani postmortem inatoka kwa kusikiliza nani kasema nini na sio vipimo.
Smh!
Tukiambia tumo ndani ya shithole country tunapiga kelele,kweli uchunguzi wa kitaalamuliofanyika umejiridhia kuwa marehemu alifariki baada ya kunywa pombe kwa wingi!!!!,hivi pale hospital ya mkoa kuna foresinc phothologist?ningependa nimuulize maswali magumu sana,but sometime hii nchi inatia hasira sana,pole mno kwa ndugu waliofiwa ila wanahaki ya kumtafuta private foresinc phothologist afanye uchunguzi upya,ila sitowalaumu maana kwana hatuna watu wa fani hii na uwezo pia hamna,huyu naye ni another one wanaozikwa na wanaondoka na ushahidi wao,why hakufanyiwa toxics test?why wanakimbilia kwenye majibu rahisi na kwa ufinyu wetu tunayakubali tu.
Umri gani ndiyo sahihi?RIP Kamanda
Hata hivyo kwa umri wake hakustahili kuwa mlevi kiasi hicho
Kwa mujibu wako mwenyewe, baba yangu amekunywa pombe tangu Kijana hadi sasa ana miaka 85 bila kupata konyagi halali usingizi. Bia ameacha anadai zinajaza Maji tumboni.Hakuna kiwango salama cha pombe.
Umri wa mtu mwenye mke, watoto na wajukuu na wote wanampa "stress"?Umri gani ndiyo sahihi?