wewe upo dunia hii kweli form 4, 6 na JKT wote mbona usili ulisha isha na matokeo yashatoka mda sana na mwezi ujoa ndhani tarehe kumi 11 wanaenda kambini. ila ka graduate taarifa niliyonayo kwa sasa ni kwamba watatoa majina mda si mrefu msubili hii ni baada ya kuwapigia simu na kuwauliza.
over!!