Hili ni tatizo lenu jingine! mnadanganywa sana na Ma Rabbi.
Katika watoto 12 wa Jacob ambao ni Watoto wa Israel mmoja wao ni Nahptali mama yake alikuwa ni Bilha mtumwa wa Rachel! Je utamwita Myahudi aliyetokea ktk kizazi cha Nahptali kuwa ni mtoto wa kambo house girl??!
Na utasema nini kuhusu watoto wengine wa Jacob? Gad na Asher mama yao ni Zilpah na alikuwa ni mtumwa wa Leah! sasa Mayahudi waliotokea ktk kizazi cha Gad na Asher ni watoto wa kambo Mahouse girls?!!!
Wakati umefika sasa wa kuwaambia hawa ma Rabbi "enough is enough, we are grown people now".
Think about it.
Tunazungimzia house girls, unless ukatae kuwa Jacob hakuzaa na ma house girls!MwanawaMangi said:usiongelee watoto wa Jacob,
Vizuri!Usisahau kuwa kufuatana na Mayahudi, katika Torah Abraham alimuoa dada yake mwenyewe Sarah mama yake Isaac.MwanawaMangi said:hapa tunaongelea watoto wa Ibrahim, Isaka na Ishmael/ismael.
Sijui unazungumzia mirathi gani hiyo, tafadhali tujuze ili tuuingilie hiyo mada.MwanawaMangi said:nani mtoto wa mama wa kambo housegirl aliyenyimwa urithi akamchukia ndugu yake hadi leo kama sio waarabu mnaowaabudu na kuwalamba miguu?
Je, unakataa kuwa Jacob alizaa na ma house girls wawili na kutoa vizazi vya Israel??!!MwanawaMangi said:chanzo hakijaanza kwa jacob tu, kilianza kwa Ibrahim alipozaa na housegirl bibi yenu aliyekuwa amenunuliwa toka misri. unaelewa?
Unaweza kutueleza ni nchi gani ya Ulaya ambayo imelazimishwa na Waislamu wafuate utamaduni wa Kiislamu?!Napenda kuuliza ni kwanini Waislamu wanapenda kulazimisha tamaduni zao ktk nchi za wengine lakini hawakubali tamaduni za wengine ktk nchi zao? .....
Ujinga ni huu:Mwana wa Mangi said:hawa jamaa ni wajinga,
Sijawahi kuuona msikiti vatican!Mwana wa Mangi said:mkristo akienda saudia, haruhusiwi hata kupractice dini yake, wasaudia wakija huku ulaya au wakiwa hapo bongo, wanataka wapewe haki ya kuabudu
Angalia wendawazimu hawa na kuzijua akili za hawa jamaa:Mwana wa Mangi said:kama si wendawazimu hii nini sasa, hapo ndo utazijua akili za hawa jamaa
Nakubaliana na weweNways, IMO, ukitaka kuishi kwa raha na kwa kujiachia rudi nchini kwenu ambako kuna ule ustaarabu unaoutaka wewe,
Ukinikaribisha katika nchi yako unikaribishe moja kwa moja, ukiniambie katika nchi yako nina uhuru wa kuabudu, iwe na maana nina uhuru wa kuabudu! otherwise nijulishe kuwa hunitaki au sina uhuru wa kuabudu katika nchi yako.AbdulHalim said:ukiwa nchi za watu keep ya head down. Hio ndio njia ya mwerevu, otherwise ni kujitakia mabalaa yasiyo na kichwa wala miguu
Nakubaliana na weweUkinikaribisha katika nchi yako unikaribishe moja kwa moja, ukiniambie katika nchi yako nina uhuru wa kuabudu, iwe na maana nina uhuru wa kuabudu! otherwise nijulishe kuwa hunitaki au sina uhuru wa kuabudu katika nchi yako.
Ukinifahamisha kuwa sitakiwi na sina uhuru wa kuabudu katika nchi yako, halafu nikaingia katika nchi yako hali nikilijuwa hilo, hapo nitakuwa sina wa kumlaumu ila ni mimi mwenyewe.
Oh bwoy! You have missed the point!Ukweli ni kwamba hakuna uhuru usio na mipaka. Hiyo inakuja naturally na usitarajie kwamba chini ya jua kutaja siku kuepo uhuru usio na mipaka wala responsibility inayoambatana nao.
Nakupa mfano mmoja tu..UK walipitisha sheria moja ya uhuru wa mtu kujiexpress na kupractice imani yake, na at the same time wakaruhusu sheria ya kukataza ubaguzi dhidi ya watu wenye mielekeo tofauti ya kingono na ile tunayoifahamu waafrika. Ikaja mwanamama mmoja ambaye ni registrar akakataa kuandikisha ndoa ya watu wa jinsia kwa madai kwamba anapractice uhuru wake wa kufuata imani yake inayoamini ndoa za jinsia moja ni dhambi..Soma hapa..Unaona scenario kaa hii? Kwa hiyo bana la kufanya ni uamuzi wa mtu mwenyewe kuona wapi kunamfaa kuishi, lakini hakuna uhuru ambao ni 'unlimited download', 'uhuru' wa mtu A unaeza kuathiri 'uhuru' wa mtu B and vice versa, hivo basi ni lazma kukubaliana mgawane 'uhuru' ili m-co-exist, otherwise mkishindwa kuafikiana basi kila mtu ashike njia yake.
and the point is what?Oh bwoy! You have missed the point!
Hii mada is very interesting ila imeshaingiliwa na mayahudi weusi na waarabu koko humu basi ishakuwa karaha bin taabu.
Nways, IMO, ukitaka kuishi kwa raha na kwa kujiachia rudi nchini kwenu ambako kuna ule ustaarabu unaoutaka wewe, ukiwa nchi za watu keep ya head down. Hio ndio njia ya mwerevu, otherwise ni kujitakia mabalaa yasiyo na kichwa wala miguu.
Undumakuwili wa wazungu!and the point is what?
Undumakuwili wa wazungu!
Ukitaka kuchukuwa viza ya Saudi na wewe si Muislamu utakuta masharti kama vile, hutaruhusiwa kuingiza ulevi wa aina yoyote ile, hutaruhusiwa kuingia Makkah wala Madinnah .nk, ukikubali unasaini fomu na kupewa viza, hivyohivyo kuhusu permit.
Hatuyaoni haya kwa wazungu tunapoomba viza au permits kuwa uhuru wetu wa kuabudu hautaturuhusu kufuga ndevu (sidhani kama unajuwa kinachoendelea katika maisha ya kawaida ya Muislamu mwenyendevu Ulaya), Hijabu hairuhusiwi, niqab marufuku, minara marufuku nk.
Chukulia mfano Switzerland, Waislamu waliamini kabisa kuwa wana Uhuru wa kujenga misikiti ikiwa na minara, wakatafuta fedha, eneo (hawakunyimwa) ,mpaka walipotaka kujenga gogoro likaanza na makura watu kupigiwa!
Kisha tukasikia kauli kuwa hatutakiwi!!
Jamani kama wewe ni mchunguzi mzuuri wa maandiko, hakuna sehemu katika bibilia inayo kiri kuwa uzao wa Ishamael ni waarabu, hamna kitu kama hicho huku ni kulazimisha undugu,....waarabu walikuwepo hata kabla ya hapo..
Iwe Isaka au Ishmael hakuna link....
Kwenye Quran amabayo haina tafsiri mtoto wa kiume wa Abraham ametajwa kama ISAKA aw ISMAEL...( hiyo aw inamaana au, yaani kutokuwa na uhakika ni yupi!!!)...Dunia haitapoa hadi waislamu watakapokubali kutouhusisha Ukristo kwenye dini yao.