Police stop Muslim woman wearing veil in Italy

mbona una uhakika sana na unachoongea, una uhakika na unachosema, umesoma Bible yote haukukuta eneo linalozungumzia icho kitu? by the way, umeongea point moja nzuri sana, "dunia haitapoa hadi waislam watakapokubali kutouhusisha ukristo kwenye dini yao".
Mkuu haya mambo yalinisumbua sana kipindi fulani,, nikaamua kwenda kwenye maandiko. Mkuu kwenye bibilia hakuna kabisa Uislamu kama uislamu. kama ...sana sana utona link(ya uislam) kama vile unahusiana na roho ya mpinga kristo, joka kuu, anaepanda magugu kwenye shamba la mkulima n.k......hayo niliyo ysema nimeyasoma...lakini bahati mbaya sina uwezo mkubwa wa kukariri ila ni kweli tupu!! siku nikipata muda nitatafuta hayo maandiko niyaweke hapa ujionee.....vituko.
 
Mkuu haya mambo yalinisumbua sana kipindi fulani,, nikaamua kwenda kwenye maandiko. Mkuu kwenye bibilia hakuna kabisa Uislamu kama uislamu. kama ...sana sana utona link(ya uislam) kama vile unahusiana na roho ya mpinga kristo, joka kuu, anaepanda magugu kwenye shamba la mkulima n.k......hayo niliyo ysema nimeyasoma...lakini bahati mbaya sina uwezo mkubwa wa kukariri ila ni kweli tupu!! siku nikipata muda nitatafuta hayo maandiko niyaweke hapa ujionee.....vituko.

ni kweli, kwenye Bible hakuna uislam kabisa, kwasababu Bible iliandikwa mapema kuliko kuran...kuran ilikuja badayeee, shetani alimwotesha ndoto mwamedi ili kulichafua Neno la Mungu watu wafuate kuran kuliko Bible. lakini tukija kuongelea mambo ya waarabu (sio waislam), nenda soma historia ya ibrahim hadi pale alipomzaa ishmael, hadi pale alipomfukuza ishmael na mama yake, kinyongo kilichokuwepo, na baadayeeee, yusufu mjukuu wa ibrahim alipokuja kuuzwa kwa waishmael wafanya biashara walikuwa wanaenda misri etc.

kwa kifupi, si waarabu wote ni watoto wa ishmael, baadhi tu ya waarabu ni watoto wa ishamel, na hata hao wameshachangamana wakurdi na waarabu, waarabu weupe na waarabu wekundu, waajemi, wamedi nk. hivyo uzao halisi wa ishmael ni mchache, ila kuna uwezekano mkubwa sana wasaudia kuwa watoto wa ishmael, kuanzia mtume wao mohamad mwenyewe na wafuasi wake walio wengi. uadui kati ya hawa watu ulianzia pale ishmael aliponyimwa urithi kwasababu Mungu alisema mtoto wa mjakazi hawezi kurithi, na alikuwa ameshamwambia ibrahim kuwa, isaka ndiye atakayekuwa mtoto wa ahadi ambaye Yesu atakuja atokee humo baadaye. hivyo, waanzilishi wa dini ya kiislam ni waishmael chini ya mkono wa shetani...na wafuasi wao wote ndo maana tunawaita watoto wa mama mdogo housegirl, yaani mama yake ishmael ambaye waislam wanamwita ismael.
 
Mkuu si kawaida yangu kubisha, ila natafuta makabrasha yangu namie nije weka ukweli kuwa hawa jamaa walazimisha undugu, hamna kitu cho chote ukoo ule uliishia mahali hivi ....tuombe mungu ntakuja mwaga mambo hapa.... thanks mkuu uanelimu nzuri pia..
 
usiongelee watoto wa Jacob, hapa tunaongelea watoto wa Ibrahim, Isaka na Ishmael/ismael. toa hoja hapo, nani mtoto wa mama wa kambo housegirl aliyenyimwa urithi akamchukia ndugu yake hadi leo kama sio waarabu mnaowaabudu na kuwalamba miguu? kama unaongelea watoto wa Jacob, ni mtoto gani wa jacob alinyimwa urithi akawachukie wenzie? toa hoja, usikimbie swali la msingi. tafuta chanzo cha miungu yenu waarabu kinachowafanya muwachukie wayahudi na kuwaita mayahudi hadi leo...chanzo hakijaanza kwa jacob tu, kilianza kwa Ibrahim alipozaa na housegirl bibi yenu aliyekuwa amenunuliwa toka misri. unaelewa?
Kwa hali jiyo unakubaliana na bibilia kuwa Ibrahim alizaa na dada yake wa baba mmoja!?
 
Kwa hali jiyo unakubaliana na bibilia kuwa Ibrahim alizaa na dada yake wa baba mmoja!?

the issue here siyo hiyo, na kwetu sisi wakristo, incest ilikuja kukataliwa badaeee wakati wa Musa Mungu alipokataza na kutoa laana kwa watuw anaooana wakati ndugu. ukitaka kuongea hivyo, anza na watoto wa adam na eva wakati wanadamu walikuwa wachache.

zaidi ya yote, the issue here sio ibrahim kulala na dadake, the issue ni ishael kuwa mtoto wa mama wa kambo. so usikimbie mada, kaa kwenye mstari shehe
 
Hoja yangu haipo kwenye hizi propaganda zenu za kujitilia ndimu. Nimeeleza hapo juu kwenye posts hizo mbili zilizotangulia kwamba hata kaa binadamu wote wataamua kuwa fair na kuweka pembeni unafiki bado hakuna chance ya kumfurahisha kila mtu 'awe huru kwa asilimia 100'..Hiyo haipo. People need to compromise and learn to be civil and tolerant. Hiyo ndio point yangu uliyoimiss na wewe.
Well! katika Uislamu hatu compromise linapokuja suala la dini (Maamrisho na makatazo yaliyo katika Quran na Sunnah)! simple.
 
Well! katika Uislamu hatu compromise linapokuja suala la dini (Maamrisho na makatazo yaliyo katika Quran na Sunnah)! simple.

I am glad u said it. Suala linakuja sasa mwahangaikani kwenda kwene nchi za makafiri ?
 
I am glad u said it. Suala linakuja sasa mwahangaikani kwenda kwene nchi za makafiri ?
Quran 4:89. They wish that you reject Faith, as they have rejected (Faith), and thus that you all become equal (like one another)....."
Wanaolijuwa hili hutawaona huko, na walioko huko inawezekana hawalijuwi hili (Waislamu wengi sasa hawaijuwi dini yao sawasawa) au wana sababu nyingine za Kishariah au zisizo za kishariah.
Nakuuliza kitu kimoja, hawa wanaovaa Niqab Ulaya, wanaovaa hijabu .nk mbona hatuwaona kutolewa katika hizo nchi?! ina maana hawakuvunja kanuni za ukazi au viza.
Sasa ni kwanini mafaini na kufukuzwa mashule badala ya kufanya kitu kimoja tu ambacho ni ku wadeport???!!.
You answer that please.
 
Quran 4:89. They wish that you reject Faith, as they have rejected (Faith), and thus that you all become equal (like one another)....."
Wanaolijuwa hili hutawaona huko, na walioko huko inawezekana hawalijuwi hili (Waislamu wengi sasa hawaijuwi dini yao sawasawa) au wana sababu nyingine za Kishariah au zisizo za kishariah.
Nakuuliza kitu kimoja, hawa wanaovaa Niqab Ulaya, wanaovaa hijabu .nk mbona hatuwaona kutolewa katika hizo nchi?! ina maana hawakuvunja kanuni za ukazi au viza.
Sasa ni kwanini mafaini na kufukuzwa mashule badala ya kufanya kitu kimoja tu ambacho ni ku wadeport???!!.
You answer that please.
Kujibu swali lako nadhani sio muhimu kwangu. Hoja yangu niliokwisha itoa nadhani inajitosheleza na hujaonesha vinginevo. Kaa unalo jipya lilete jamvini.
 
Hello!!
Acheni KUJIDANGANYA NA KUDANGANYWA. MUNGU alituumba na ukamilifu NA KUTUPA UWEZO wa kujua mazuri na mabaya na kila mtu anafahamu fika kuwa kuna mazuri na mabaya, na Vitabu vya dini vina mambo mengi na yanatafsiliwa tofauti na watu tofauti na fikra tofauti, sasa tukianza kukosoana hatutafika popote kutokana na kuwa na imani tofauti na mwongozo tofauti wa hizo imani tulizonazo. hivyo ni bora kila mtu kufanya lililo jema machoni pa yule amwaminie (MUNGU), kwanini nasema hivyo:- mfano.....
kila mtu ameumbwa kwaajili ya kuwa na mke mmoja na mwanume mmoja na kila mtu anahaki sawa kutokana na majukumu yake. sasa kwanini mwanume aruhusiwe kuoa more than one wife na mwanmke asiruhusiwe??? hata kama mwanamke ni wakutawaliwa haimpi haki mwanume kuoa rundo la wanawake kikidhi tamaa zake huku mwanamke akinyimwa kukidhi tamaa zake na wanaume wengine au na wao hawana tamaa???? CAN SOMEONE ANSWER ME THAT QUIZ?????

MUUMBA WETU ALITUFICHA SIRI KUBWA SANA YA KUJUA NI WAPI TUENDAKO TUMALIZAPO MAISHA YETU HAPA DUNIANI. hivyo hakuna kitendo au matendo ambayo mwanadamu anaweza kuyafanya na akajiona atakwenda PEPONI /MBINGUNI. ni MUNGU peke yake ajuae siri hiyo au kuna aliye KUFA NA KUFUFUKA then akaja kueleza dunia ukifa utakwenda huku au huku????

kuna wanao amini UKIMUUA MWANADAMU MWENZAKO KWA IMANI NI KAFIRI UNAKWENDA PEPONI HOW??????? HIVYO NA HUYO KAFIRI AKITAMBUA KWENYE DINI YAKE WEWE UMWITAYE KAFIRI NI KARIFI AKUUE???? SASA NANI ATAKWENDA PEPONI MAKAFIRI WALIO UANA??? AU ???? NA HIYO VITA ITAENDA KUISHA HATA HUKO PEPONI KWAKUWA BADO NI MAKAFIRI KWA KILA MMOJA????

NA NANI KASEMA ETI MWANAMKE AKIVAA MAVAZI YAO YA KIISLAM HATA TAMANIWA?????
MBONA WENGI TUNAWAONA NA TUNAWATAMANI.... NA WENGINE WANASALITI HATA NDOA ZAO??

ACHENI MIJADALA ISIYO JENGA WANA JF


WAZO LANGU NI MOJA TU:-
KILA MTU AAMINI AMINIVYO NA NAOMBA MIJADALA YA KUZUNGUMZIA DINI ISIENDELEE AU HAITUPELEKI PA ZURI NI BORA KILA MMOJA ABAKI NA IMANI YAKE NA SIO KUKOSOANA COZ KILA MMOJA ANAAMINI IMANI YAKE NA ANAAMINI KAMA ALIVYO FUNDISHWA. HAKUNA AWEZAE KUMHUKUMU MWENZAKE ETI UTAENDA PEPONI AU KUZIMUNI NI MUNGU PEKE YAKE.
 
Ubungoubungo said:
hadi pale alipomfukuza ishmael na mama yake
Kwa hiyo Abrahan alimuasi MwenyeziMungu ambaye amembariki Ishmael na amekwenda kinume na Torah inayosema:
Genesis 17:20 And as for Ishmael, I have heard thee: Behold, I have blessed him, and will make him fruitful, and will multiply him exceedingly; twelve princes shall he beget, and I will make him a great nation".
Tatizo lenu Mayahudi ni laana! mmelaaniwa Mayahudi
Haya jisomee Rabbi Shaul anavyosema:
Rabbi Shaul Brach of Kashoa once said:
"Before thinking up the idea of Zionism, Herzl wanted all Jews to convert to Christianity. When he was laughed at, he developed the second idea which was able to have more effect, since thousands of Jews began to believe they could be Jews without the Torah of Judaism."
Once before the Neila prayer on Yom Kippur Rabbi Avraham Yoshe Freund of Mansod said:
"It is not because they are Zionists that they are evildoers. It is because they are evildoers that they are Zionists."
Ubungoubungo said:
na baadayeeee, yusufu mjukuu wa ibrahim alipokuja kuuzwa kwa waishmael wafanya biashara walikuwa wanaenda misri etc.
Mhh! mtanzania unatukanwa na Myahudi hapo!
Ubungoubungo said:
uadui kati ya hawa watu ulianzia pale ishmael aliponyimwa urithi kwasababu Mungu alisema mtoto wa mjakazi hawezi kurithi,
Kwa hiyo Torah inadanganya inaposema kuwa Ishmael amebarikiwa? na atafanywa kuwa great Nation?! Genesis 17:20
Ubungoubungo said:
uadui kati ya hawa watu ulianzia pale ishmael aliponyimwa urithi kwasababu Mungu alisema mtoto wa mjakazi hawezi kurithi,
Kwahiyo unamtukana Abraham tena kwa kukengeuka mafundisho ya MwenyeziMungu:
DEutoronomy 21: 15] If a man have two wives, one beloved, and another hated, and they have born him children, both the beloved and the hated; and if the firstborn son be hers that was hated:
[16] Then it shall be, when he maketh his sons to inherit that which he hath, that he may not make the son of the beloved firstborn before the son of the hated, which is indeed the firstborn:
[17] But he shall acknowledge the son of the hated for the firstborn, by giving him a double portion of all that he hath: for he is the beginning of his strength; the right of the firstborn is his".
Ubungoubungo said:
na alikuwa ameshamwambia ibrahim kuwa, isaka ndiye atakayekuwa mtoto wa ahadi
Na hii nayo inakuambia nini?:
Genesis 21:13 And also of the son of the bondwoman will I make a nation, because he is thy seed.
 
Back
Top Bottom