Police stop Muslim woman wearing veil in Italy

Good move by Italy and the EU! Haya maguo ya kigaidi yanakosesha sana watu amani!
 
Hili ni tatizo lenu jingine! mnadanganywa sana na Ma Rabbi.
Katika watoto 12 wa Jacob ambao ni Watoto wa Israel mmoja wao ni Nahptali mama yake alikuwa ni Bilha mtumwa wa Rachel! Je utamwita Myahudi aliyetokea ktk kizazi cha Nahptali kuwa ni mtoto wa kambo house girl??!
Na utasema nini kuhusu watoto wengine wa Jacob? Gad na Asher mama yao ni Zilpah na alikuwa ni mtumwa wa Leah! sasa Mayahudi waliotokea ktk kizazi cha Gad na Asher ni watoto wa kambo Mahouse girls?!!!
Wakati umefika sasa wa kuwaambia hawa ma Rabbi "enough is enough, we are grown people now".
Think about it.

usiongelee watoto wa Jacob, hapa tunaongelea watoto wa Ibrahim, Isaka na Ishmael/ismael. toa hoja hapo, nani mtoto wa mama wa kambo housegirl aliyenyimwa urithi akamchukia ndugu yake hadi leo kama sio waarabu mnaowaabudu na kuwalamba miguu? kama unaongelea watoto wa Jacob, ni mtoto gani wa jacob alinyimwa urithi akawachukie wenzie? toa hoja, usikimbie swali la msingi. tafuta chanzo cha miungu yenu waarabu kinachowafanya muwachukie wayahudi na kuwaita mayahudi hadi leo...chanzo hakijaanza kwa jacob tu, kilianza kwa Ibrahim alipozaa na housegirl bibi yenu aliyekuwa amenunuliwa toka misri. unaelewa?
 
MwanawaMangi said:
usiongelee watoto wa Jacob,
Tunazungimzia house girls, unless ukatae kuwa Jacob hakuzaa na ma house girls!
MwanawaMangi said:
hapa tunaongelea watoto wa Ibrahim, Isaka na Ishmael/ismael.
Vizuri!Usisahau kuwa kufuatana na Mayahudi, katika Torah Abraham alimuoa dada yake mwenyewe Sarah mama yake Isaac.
Genesis 12:19 Why saidst thou, She is my sister? so I might have taken her to me to wife: now therefore behold thy wife, take her (Sarah), and go thy way".
Kuhusu Hagar, Torah inakuambia kuwa alikuwa ni mke wa Abraham:
Genesis 16:3 And Sarai Abram's wife took Hagar her maid the Egyptian, after Abram had dwelt ten years in the land of Canaan, and gave her to her husband Abram to be his wife.
MwanawaMangi said:
nani mtoto wa mama wa kambo housegirl aliyenyimwa urithi akamchukia ndugu yake hadi leo kama sio waarabu mnaowaabudu na kuwalamba miguu?
Sijui unazungumzia mirathi gani hiyo, tafadhali tujuze ili tuuingilie hiyo mada.
Inaelekea huilewi Torah au unatumia ulaghai, vipi mtu amabye amebarikiwa ktk Torah, na taifa lake limeahidiwa kuwa great anyimwe urithi?!!
Genesis 17:20 And as for Ishmael, I have heard thee: Behold, I have blessed him, and will make him fruitful, and will multiply him exceedingly; twelve princes shall he beget, and I will make him a great nation".
MwanawaMangi said:
chanzo hakijaanza kwa jacob tu, kilianza kwa Ibrahim alipozaa na housegirl bibi yenu aliyekuwa amenunuliwa toka misri. unaelewa?
Je, unakataa kuwa Jacob alizaa na ma house girls wawili na kutoa vizazi vya Israel??!!
Jina lenyewe la Ishmael limechaguliwa na Mwenyezi Mungu Mwenyewe kutokana na Torah sasa unazungumzia kitu gani?!:
Genesis 16:11 And the angel of the LORD said unto her (Hagar), Behold, thou art with child, and shalt bear a son, and shalt call his name Ishmael; because the LORD hath heard thy affliction".
Na sehemu hii ya Torah inakwambia kitu gani?!:
Genesis 21:18 Arise, lift up the lad, and hold him in thine hand; for I will make him a great nation".
 
Napenda kuuliza ni kwanini Waislamu wanapenda kulazimisha tamaduni zao ktk nchi za wengine lakini hawakubali tamaduni za wengine ktk nchi zao? Ni mwanamke gani asiye Mwislamu atakubaliwa kutembea kichwa wazi ktk nchi za Kiislamu? AU ndio ule msemo chetu chao na chao chao?

Huu ni mgogoro mkubwa sana na hauwezi kuisha karibuni hadi waislamu watakapokubali kutoingilia uhuru wa watu wengine wawapo ktk nchi za kiislamu.
 
hawa jamaa ni wajinga, mkristo akienda saudia, haruhusiwi hata kupractice dini yake, wasaudia wakija huku ulaya au wakiwa hapo bongo, wanataka wapewe haki ya kuabudu. kama si wendawazimu hii nini sasa, hapo ndo utazijua akili za hawa jamaa. wabishi kama wamekula misumari vile.
 
Napenda kuuliza ni kwanini Waislamu wanapenda kulazimisha tamaduni zao ktk nchi za wengine lakini hawakubali tamaduni za wengine ktk nchi zao? .....
Unaweza kutueleza ni nchi gani ya Ulaya ambayo imelazimishwa na Waislamu wafuate utamaduni wa Kiislamu?!
Mwana wa Mangi said:
hawa jamaa ni wajinga,
Ujinga ni huu:
A woman who had intercourse with a beast is eligible to marry a Jewish priest. A woman who has sex with a demon is also eligible to marry a Jewish priest.Yebamoth 59b
Mwana wa Mangi said:
mkristo akienda saudia, haruhusiwi hata kupractice dini yake, wasaudia wakija huku ulaya au wakiwa hapo bongo, wanataka wapewe haki ya kuabudu
Sijawahi kuuona msikiti vatican!
Mwana wa Mangi said:
kama si wendawazimu hii nini sasa, hapo ndo utazijua akili za hawa jamaa
Angalia wendawazimu hawa na kuzijua akili za hawa jamaa:
To heal the disease of pleurisy ("catarrh") a Jew should "take the excrement of a white dog and knead it with balsam, but if he can possibly avoid it he should not eat the dog's excrement as it loosens the limbs."Gittin 69b
 
wewe ni mgumu sana kuelewa. nafikiri si vizuri kupoteza muda na wewe. hivi hapa unaongea na myahudiiii au unaongea na mkristo? hivi una akili timam mzee? naongea na Sideeq
 
Sideeq - you have presented your points very logical and clear. I have followed your threads and got convinced of your points. Problem we African Christians still harbour great hatred to Arabs because of missionaries who arrived with gun on one hand and bible on the others all they planted in our heads are negativity about Arabs and Islam - divide and rule worked and unfortunately still works with may of us here in Africa. They came with christianity so that we can be tamed like lambs and obey our new masters. It is time we know who we are and who and who are close to us.
 
Hii mada is very interesting ila imeshaingiliwa na mayahudi weusi na waarabu koko humu basi ishakuwa karaha bin taabu.

Nways, IMO, ukitaka kuishi kwa raha na kwa kujiachia rudi nchini kwenu ambako kuna ule ustaarabu unaoutaka wewe, ukiwa nchi za watu keep ya head down. Hio ndio njia ya mwerevu, otherwise ni kujitakia mabalaa yasiyo na kichwa wala miguu.
 
Nways, IMO, ukitaka kuishi kwa raha na kwa kujiachia rudi nchini kwenu ambako kuna ule ustaarabu unaoutaka wewe,
Nakubaliana na wewe
AbdulHalim said:
ukiwa nchi za watu keep ya head down. Hio ndio njia ya mwerevu, otherwise ni kujitakia mabalaa yasiyo na kichwa wala miguu
Ukinikaribisha katika nchi yako unikaribishe moja kwa moja, ukiniambie katika nchi yako nina uhuru wa kuabudu, iwe na maana nina uhuru wa kuabudu! otherwise nijulishe kuwa hunitaki au sina uhuru wa kuabudu katika nchi yako.
Ukinifahamisha kuwa sitakiwi na sina uhuru wa kuabudu katika nchi yako, halafu nikaingia katika nchi yako hali nikilijuwa hilo, hapo nitakuwa sina wa kumlaumu ila ni mimi mwenyewe.
 
Nakubaliana na weweUkinikaribisha katika nchi yako unikaribishe moja kwa moja, ukiniambie katika nchi yako nina uhuru wa kuabudu, iwe na maana nina uhuru wa kuabudu! otherwise nijulishe kuwa hunitaki au sina uhuru wa kuabudu katika nchi yako.
Ukinifahamisha kuwa sitakiwi na sina uhuru wa kuabudu katika nchi yako, halafu nikaingia katika nchi yako hali nikilijuwa hilo, hapo nitakuwa sina wa kumlaumu ila ni mimi mwenyewe.

Ukweli ni kwamba hakuna uhuru usio na mipaka. Hiyo inakuja naturally na usitarajie kwamba chini ya jua kutaja siku kuepo uhuru usio na mipaka wala responsibility inayoambatana nao.

Nakupa mfano mmoja tu..UK walipitisha sheria moja ya uhuru wa mtu kujiexpress na kupractice imani yake, na at the same time wakaruhusu sheria ya kukataza ubaguzi dhidi ya watu wenye mielekeo tofauti ya kingono na ile tunayoifahamu waafrika. Ikaja mwanamama mmoja ambaye ni registrar akakataa kuandikisha ndoa ya watu wa jinsia kwa madai kwamba anapractice uhuru wake wa kufuata imani yake inayoamini ndoa za jinsia moja ni dhambi..Soma hapa..Unaona scenario kaa hii? Kwa hiyo bana la kufanya ni uamuzi wa mtu mwenyewe kuona wapi kunamfaa kuishi, lakini hakuna uhuru ambao ni 'unlimited download', 'uhuru' wa mtu A unaeza kuathiri 'uhuru' wa mtu B and vice versa, hivo basi ni lazma kukubaliana mgawane 'uhuru' ili m-co-exist, otherwise mkishindwa kuafikiana basi kila mtu ashike njia yake.
 
Oh bwoy! You have missed the point!
 
Hii mada is very interesting ila imeshaingiliwa na mayahudi weusi na waarabu koko humu basi ishakuwa karaha bin taabu.

Nways, IMO, ukitaka kuishi kwa raha na kwa kujiachia rudi nchini kwenu ambako kuna ule ustaarabu unaoutaka wewe, ukiwa nchi za watu keep ya head down. Hio ndio njia ya mwerevu, otherwise ni kujitakia mabalaa yasiyo na kichwa wala miguu.

kweli kabisa.
 
and the point is what?
Undumakuwili wa wazungu!
Ukitaka kuchukuwa viza ya Saudi na wewe si Muislamu utakuta masharti kama vile, hutaruhusiwa kuingiza ulevi wa aina yoyote ile, hutaruhusiwa kuingia Makkah wala Madinnah .nk, ukikubali unasaini fomu na kupewa viza, hivyohivyo kuhusu permit.
Hatuyaoni haya kwa wazungu tunapoomba viza au permits kuwa uhuru wetu wa kuabudu hautaturuhusu kufuga ndevu (sidhani kama unajuwa kinachoendelea katika maisha ya kawaida ya Muislamu mwenyendevu Ulaya), Hijabu hairuhusiwi, niqab marufuku, minara marufuku nk.
Chukulia mfano Switzerland, Waislamu waliamini kabisa kuwa wana Uhuru wa kujenga misikiti ikiwa na minara, wakatafuta fedha, eneo (hawakunyimwa) ,mpaka walipotaka kujenga gogoro likaanza na makura watu kupigiwa!
Kisha tukasikia kauli kuwa hatutakiwi!!
 
Hoja yangu haipo kwenye hizi propaganda zenu za kujitilia ndimu. Nimeeleza hapo juu kwenye posts hizo mbili zilizotangulia kwamba hata kaa binadamu wote wataamua kuwa fair na kuweka pembeni unafiki bado hakuna chance ya kumfurahisha kila mtu 'awe huru kwa asilimia 100'..Hiyo haipo. People need to compromise and learn to be civil and tolerant. Hiyo ndio point yangu uliyoimiss na wewe.
 
Jamani kama wewe ni mchunguzi mzuuri wa maandiko, hakuna sehemu katika bibilia inayo kiri kuwa uzao wa Ishamael ni waarabu, hamna kitu kama hicho huku ni kulazimisha undugu,....waarabu walikuwepo hata kabla ya hapo..
Iwe Isaka au Ishmael hakuna link....
Kwenye Quran amabayo haina tafsiri mtoto wa kiume wa Abraham ametajwa kama ISAKA aw ISMAEL...( hiyo aw inamaana au, yaani kutokuwa na uhakika ni yupi!!!)...Dunia haitapoa hadi waislamu watakapokubali kutouhusisha Ukristo kwenye dini yao.
 
safi sana wauwaji hawa, ukiwaaachia tu wanajilipua wapuuzi kama nini...ukienda kwao huruhusiwi kuwa na uhuru wa kuabudu wakija kwako eti wnataka uhuru wa kuabudu...chagueni moja kaeni kwenu mzaliane au mwende kwa watu na muheshimu sheria zao...acheni kutetea upuuuzi humu.........hata watu wa dini nyingine kwenye nchi yao malipo yao ni kuchomewa nyumba zao za ibada au kuuliwa.....ujinga kabisa tushawastukia haooooooooooooooooo
 
Jamani kama wewe ni mchunguzi mzuuri wa maandiko, hakuna sehemu katika bibilia inayo kiri kuwa uzao wa Ishamael ni waarabu, hamna kitu kama hicho huku ni kulazimisha undugu,....waarabu walikuwepo hata kabla ya hapo..
Iwe Isaka au Ishmael hakuna link....
Kwenye Quran amabayo haina tafsiri mtoto wa kiume wa Abraham ametajwa kama ISAKA aw ISMAEL...( hiyo aw inamaana au, yaani kutokuwa na uhakika ni yupi!!!)...Dunia haitapoa hadi waislamu watakapokubali kutouhusisha Ukristo kwenye dini yao.

mbona una uhakika sana na unachoongea, una uhakika na unachosema, umesoma Bible yote haukukuta eneo linalozungumzia icho kitu? by the way, umeongea point moja nzuri sana, "dunia haitapoa hadi waislam watakapokubali kutouhusisha ukristo kwenye dini yao".
 
Back
Top Bottom