johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,537
Biblia inasema malaika alimwambia yule bwana aliyejiwekea malengo’ mpumbavu wewe Leo usiku wataitaka roho yako’
Malengo ya Adam yalikuwa mikononi mwa Mungu wa mbinguni mwenyewe ila yeye Adam alikuwa na Matamanio tu
Kwa mfano Matamanio ya Mwamba yalikuwa awe mwenyekiti wa kudumu Chadema lakini malengo ya Mungu wa mbinguni kwa Mbowe hayakuwa hayo ndio unaona Mabilionea wote wa Chadema Wenje, Mungai, Boniyai, Mdee, Sugu nk walimshindwa Mlalahoi Tundu Lisu
Ahsanteni sana 🙏