Polepole: Wana-CCM tusikae kimya Serikali ikikosea, tuwe wakali na jasiri kukosoa

Mkuu mwache tu maana waswahili hunena anayetafuta sifa kwa nguvu hununua dharau kwa bei rahisi
 
Kuna maswali najiuliza mbona kama wanasiasa kama Haumphrey Polepole wa tanzania baraz Wana uwezo mkubwa sana katka comedy kuliko hata politics Kuna haja yakua halalisha kua politics in tz is directly proportional to comedy


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Achana naye huyo anajiuguza wehu maana anajifanya hakuyaona mambo yaliyokuwa yanafanyika hata mwendawazimu aliona watu walivyokuwa wakiteseka
Mbunge kutandikwa risasi mchana kweupe (Haijawahi kutokea ndani ya TZ) na hakuna juhudi zozote zilizofanyika ili kukamatwa waliohusika
 
Niliacha kumsikiliza alipofanya U-turn kwenye Katiba Mpya.
 
Angeeleweka kama asingekuwa sehemu ya utawala uliopita,bora angebaki kuwa mwanaharakati huru.Hapa anaonesha kutokuwa na wadhifa inamuumiza sana
 
Atamkemea nani wakati yeye alishirikiana na Magufuli kuharibu chaguzi za nchi hii? Hao wanaccm wenzake anaotaka wawe wakali, wote wako madarakani kwa maagizo ya Magufuli na sio ridhaa ya umma. Asidhani wanaccm wenzake hawaujui ukweli huo.
 
Atamkemea nani wakati yeye alishirikiana na Magufuli kuharibu chaguzi za nchi hii? Hao wanaccm wenzake anaotaka wawe wakali, wote wako madarakani kwa maagizo ya Magufuli na sio ridhaa ya umma. Asidhani wanaccm wenzake hawaujui ukweli huo.
Kama kuna watu wamekosa haya nchi hii nadhani Polepole ni namba moja
 
Huyu ni ndumi la kuwili mkuu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kajamba kana ROHO ya KOROSHO haka
 
Jamani HUYU mjamzito ana mimba hatarishi ya JIWE nashauri akikaribia kujifungua apelekwe Burundi Na tuombe serikali ya Burundi watoe na kitambulisho Cha NIDA ya Kirundi au ya kihalfcast wa kipangwa na Kirundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…