Polepole: Wana-CCM tusikae kimya Serikali ikikosea, tuwe wakali na jasiri kukosoa

M

M 7 tena,
Nacc tuwe tunaangalia marafiki wakuwaalika.Babu anataka kufia kwenye kiti cc kwetu ndio lulu.
Au kaalikwa na Mzee Ruksa?hapo itakuwa sawaaaa.
Tuna mradi naye mkubwa sana, na una faida kubwa kwa Taifa, alitaka kuupitisha Kenya kwa sababu ya tabia chafu za jiwe, Ila jiwe lilipokufa kaurudisha TZ, na huo mradi ndiyo sababu kubwa ya yeye kuja, hajaalikwa na mtu
 
Bado mnaendelea na hizi propaganda zenu? Ushawahi kujiuliza kwa nini "Mother Nature" aliamua aingilie kati ile "17th, March"?
Ushawahi kujiuliza kwanini Mother nature hakuingilia kati chifu Mkwawa aliponyongwa? Au wapigania uhuru hawakumhitaji? Au hakufaa? Ni ujinga wa kiwango cha lami kuhusianisha kifo cha mtu na upuuzi wenu! Hata wewe unaweza kufa wakati wowote! Au unadhani Wakristu hawakumhitaji Pope John Paul II?? Basi tuone huyo atakaeishi milele
 
John Paul alikuwa ashavuka 80 years huko, Huyu mpiga push up (Ili kumuonesha Lowassa yeye yupo fit) bado alikuwa ana vimiaka vya kuwatesa watu, Nature ikamfanya cha kumfanya....
 
Usihangaike na sukuma genge ndugu yangu ni watu wasiojielewa
Awamu ya 5 ilikuwa ni awamu ya uovu kuliko awamu zote zimewahi kutokea nchi hii, kudhihirisha hilo "Mother nature" itself ikaamua "kurara nayo mbere", Kwa mara ya kwanza kikatokea kitu hakijawahi kutokea nchi hii....Nitajie upigaji kwenye awamu ya 6 Mkuu, hujanijibu hilo swali
 
Mkuu achana na watu wasiojielewa kipindi watu walikuwa wananunua maiti mpaka 10m kutokana na gharama za matibabu hiyo bajeti ya wizara ya afya akapelekwa kujenga bwawa la umeme huku tukikaririshwa kuwa tunatumia pesa za ndani
Hukukuwa na chombo cha habari kilichokuwa kuwa huru kuandika habari hizo
Kwa kweli Mungu ni mkubwa kutepusha na kadhia hii
Huo upuuzi wenu wa kudanganya watu nchi tajiri matokeo yake mkaenda kukopa trilioni 20 ndani ya miaka 5, tena kwa mariba ya kibiashara! Na hatujawahi ambiwa hiyo hela imefanya nini zaidi ya blah blah za SGR na Stieglers, miradi ambayo haikumalizwa kwa wakati na ni mzigo mkubwa kwa taifa, Awamu ya 5 imeliingiza hili taifa kwenye majanga makubwa! Ila Uzuri "Ilishughulikiwa", now tuna amani...
 
Huyu ubongo umejaa fungus, serikali yao ya wauwaji ya awamu ya tano mbona walikuwa hawataki kukosolewa?

Mama amshughurikie huyu mbwa haraka maana kila kukicha yuko bize kupandikiza chuki na uhasi dhidi ya serikali ya awamu ya 6, ashughurikiwe haraka ili awe demo kwa Sukuma gang wote.
I second you
 
Zile v8 kila akizikumbuka anatamani kupasuka.
Aisee!

20210501_072041.jpg
 
Yupo sahihi.Nchi haieleweki inaelekea wapi.Lazima watu wasikae kimya.Zama za Magufuli hapakuwa na jambo la kukosoa ndio maana watu walikuwa kimya lakini kwa uongozi huu uliopo lazima watu waongee huku tozo,huku umeme,huku maji,kule wapigaji... yaani serikali ya hovyo kabisa
Ficha nyeti zako, akili kama Slowslow
 
"Wana CCM wenzangu hatupaswi kukaa kimya pale ambapo Serikali inapofanya makosa, tuwe wakali na majasiri kukemea,tusiwe waoga, Katiba yetu ya Chama inatutaka kuisimamia kweli"- H. Polepole

FFHjG4pXMAAO1bq

My take:
Huyu na mwenzake Jiwe si ndio walimtimua Membe ambaye alitumia uhuru wake kama mwanachama wa CCM (Kama katiba ya chama inavyotaka) kuikosoa Serikali?
Ila madaraka matamu sana aisee yaan huez ona makosa ukiwa kweny diko 🍔🍔
 
Huyu na mwenzake Jiwe si ndio walimtimua Membe ambaye alitumia uhuru wake kama mwanachama wa CCM (Kama katiba ya chama inavyotaka) kuikosoa Serikali?
Huyu hajaevolve,bado yuko kwe steji ya pili sawa na Australopiphicus Boisei Hominid wa Mapangoni.

Huyu Mtu awekwe kwenye Zoo ili tuende kumiangalia.

images (2).jpeg

Jamii ya akina Polepole wanafanana sana
 
Mkuu achana na watu wasiojielewa kipindi watu walikuwa wananunua maiti mpaka 10m kutokana na gharama za matibabu hiyo bajeti ya wizara ya afya akapelekwa kujenga bwawa la umeme huku tukikaririshwa kuwa tunatumia pesa za ndani
Hukukuwa na chombo cha habari kilichokuwa kuwa huru kuandika habari hizo
Kwa kweli Mungu ni mkubwa kutepusha na kadhia hii
Umenena vyema Mkuu, siyo kwamba Serikali ya Samia itakuwa perfect, BIG nooo, ila madhaifu ya serikali hii hayawezi kufikia udhalimu uliofanyika awamu ya 5! Watu waliishi kama watumwa ndani ya nchi yao, mtu aliyekaa Ikulu hakutaka kukosolewa kwa lolote, the same time vijana wake aliowaamini ndio walikuwa hawa akina Sabaya, Bashite, Musiba n.k.!
 
44 Reactions
Reply
Back
Top Bottom