Polepole Vs Magufuli.

Lugombo Nsesi

Senior Member
Jun 16, 2016
126
149
Ni jambo LA ajabu Sana kuna hawa viongozi Wawili wakiwa chama kimoja ila malengo na mitazamo ikiwa tofauti.
Mmoja anahubiri chama kurudi kwa wananchi maskini, mwingine hataki hata kuwapa misada haohao wananchi maskini. Raising anatumia pesa za mafa kukarabati shule na hospital, wakati ofisi ya waziri mkuu Ina kitengo cha mafa na bajeti ipo.
Nashindwa kuwaelewa hawa watu Wawili.

Je, Polepole akienda Kagera atawambia wananchi wa huko kua nimeleta chama kwenu wanyonge??

Tunaipenda ccm Sana ila kwa hili watu wa kagera wametukosea.
 
Back
Top Bottom